Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalia hii video uone vile jiji lenu limezingirwa na slums Kila corner kijana wa Tandale. Makwapa stadium inaonekana vizuri sana kwenye hiyo video. So sad this is what the world will come to see around Makwapa in 2027
View attachment 3302944
Hiyo picha ni picha ya mwaka 2007 wakati uwanja unafunguliwa. Calculate ssa hivi ni miaka mingapi?
 
Ila Dar banah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3302954
Hii ya zamani sana Kabla ya Magufuli ujenzi ulikuwa unaendelea check hapa picha uliyoiweka 👇 👇 👇 👇

1744548188222.png
 
Nchi yao nzima hamna HD channel, ukitaka kuamini ingia DSTV halafu weka channel mojawapo uniambie.
Tanzania Tv yenye soko kubwa ni brand ya HISENSE kule ukunyani ni VITRON. 😂😂😂
Uneducated Primitive Maasai at his best.
 
Back
Top Bottom