Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Really? Sasa cessna ndege inayomilikiwa na vijana wadogo wa 28 years old huku Kenya unapost kama national pride… watz bana
View attachment 3301304
View attachment 3301305
Anyway hata kama hio ni kubwa bado sio vitu vya kupost humu…
Khalif kairo anamiliki ndege kumbe na hamsemi.? 🤣🤣🤣🤣 kwanini mnapenda kujidanganya.? Kwamba “Ndege inayomilikiwa na kijana Mdogo kenya “ 🤣🤣🤣🤣. ichoboy01 siku moja uliwahi kufundisha humu kwamba mkenya akiongea maneno 1000 chukua neno moja tu uondoke 🤣🤣🤣 na lenyewe usilitilie maanani.
 
🤣🤣🤣🤣 huu ni uongo au ni upumbavu.? 👇🏾
IMG_6459.jpeg
kwamba ndege inayo milikiwa na kijana mdogo wa miaka 28 huku kenya. 🤣🤣🤣👇🏾
IMG_6461.jpeg
🤣🤣🤣 halafu hawakosoani hawa vilaza. Dah.! 🙌🏾🙌🏾. Cc IamLee. Mzee we Kiboko kaka.
 
Your president here is being too political. Yaani ujenge 60k modern stadium from scratch in 18 months ? Unless mnauenga zile vitu zenu jua kali like the Kisumu international ultramodern stadia 😀😀😀
Tuliwaambia Opening na Closing Matches Lazima zitachezwa Kenya mkaona ni Mchezo 😂😂😂. Never joke with Kenya's work Force. Na Bado Kasarani haijaingia phase 2. Mtatoroka 😂
1744425632923.jpg
 
Back
Top Bottom