Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa city haina 5 star hotel! Pia kumbuka Arusha ina viwanja viwili vya ndege KIA na Arusha airport at her disposal! Aside that pamoja na kuwa na fukwe hamna uaafiri wa maana wa majini kwa ajili ya abiria!
Kilimanjaro international airport haipo Arusha town. It's located 40kms away from Arusha town. The only airport within Arusha town is Arusha airport. Kadanganye wajukuu wako
 
This background image will rep East Africa very well unlike a certain unnamed fishing village with Uswaziland background.🤣🤣
IMG_6437.jpeg
 
Ngoja nijibu paragraph ya mwisho.

Dodoma Ndio mji ambao uko connected (Ukitoa bahari) kuliko miji yote East Africa kwa njia ya nchi kavu

Mtu akitoka Dar kwenda Dodoma atatumia saa 1 kwa njia ya nchi kavu

Roughly same Distance mtu akitoka Nairobi Hadi Mombasa atatumia masaa 6 at Best.

Hadi tunaanza AFCON Dodoma itakuwa na modern airport kuliko zote zilizopo Kenya.

Kazi yenu kubwa na mtihani mliobaki nao sasa ni kuwa wasafi hapo Nairobi otherwise tutaandaa mashindano yote
Mbona ujibu paragraph ya mwisho pekee? Hizo zingine haujaonaa? Ama ndio kujitoa ufahamu?🤣🤣

"Dodoma Ndio mji ambao uko connected (Ukitoa bahari) kuliko miji yote East Africa" 😂😂 where did you read this? Ama umetoa tu akilini ili ujiliwaze?

Napenda mnavyojipa matumaini. Endeleeni kung'oa viti makwapa na kuchanua nyasi mle ndani. Of course AFCON mtaanda pekee yenu
 
Kuna airport yoyote hapo kunyarenda ya kushindana na Msalato airport .? Soon tunaifungua na utakimbia huu uzi.
 
Tuliwaambia Opening na Closing Matches Lazima zitachezwa Kenya mkaona ni Mchezo 😂😂😂. Never joke with Kenya's work Force. Na Bado Kasarani haijaingia phase 2. Mtatoroka 😂
View attachment 3301613
Why will the opening and closing matches happen in a non footballing county? Unadhani kuwa na kiwanja kimoja funded by china makes is all it takes ?
By the way, looks like you are so excited, we have massive projects including two new modern stadia na tunaona ni sawa tu.
 
Back
Top Bottom