Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,146
- 33,023
Nilijua tu utakurupuka mafichoni😂Kwani alikuambia umwamini?
Nilijua tu utakurupuka mafichoni😂Kwani alikuambia umwamini?
Kasarani first all the boxes except for number one. Ama umeona shacks next to Kasarani vile vimejaa pale Makwapa? Actually Kasarani has higher Chances of hosting either Finals or Closing ceremony more than Makwapa. Arusha and Dodoma can’t even dream of them because of their size. They are too small to host such ceremonies.🤣🤣🤣🤣 kasarani?🤣🤣..
Akijibu nitag 😂Mlijenga au mlipewa kama msaada na wachina?
Watu hamuwezi kulipa wachezaji mnaanza kuwaza mbali hivyo 🤣🤣🤣Kasarani first all the boxes except for number one. Ama umeona shacks next to Kasarani vile vie jama pale Makwapa? Actually Kasarani has higher Chances of hosting either Finals or Closing ceremony more than Makwapa. Arusha and Dodoma and can’t even dream of them because of their size. They are too small to host such ceremonies.
Naikundu surrounded with slumsUnanionyesha potholes? 😂😂😂 Nikuketee potholes za Dar tucheke?
Unamaaanisha hapo ni slum ama? Hebui linganisha hizo nyumba kwenye picha na zile uswazi hovels zenu
So Finals and Opening Ceremonies will be awarded by looking at how players are paid? Kwani watanzania wote ni wajinga tu hivi?Watu hamuwezi kulipa wachezaji mnaanza kuwaza mbali hivyo 🤣🤣🤣
Next time hata hio AFCON inafaa tufanye hosting bid pekee yetu, because tutakua the only country in East Africa with all the requirements.Kasarani first all the boxes except for number one. Ama umeona shacks next to Kasarani vile vimejaa pale Makwapa? Actually Kasarani has higher Chances of hosting either Finals or Closing ceremony more than Makwapa. Arusha and Dodoma can’t even dream of them because of their size. They are too small to host such ceremonies.
We were to host it alone but these beggars came begging us to include them so that it can look like an East African Affairs😂😂😂Next time hata hio AFCON inafaa tufanye hosting bid pekee yetu, because tutakua the only country in East Africa with all the requirements.
CAF requirements
1. 2 stadiums with more than 40k capacity
2. 2 stadiums with more than 20k capacity
3. 2 stadiums with more than 15k capacity
Now it makes sense. 😀We were to host it alone but these beggars came begging us to include them so that it can look like an East African Affairs😂😂😂
The other homes I’ve seen with rooftop parking was at Capetown
View: https://youtu.be/ztLbn1vvqK0?si=aivq14hd5SEs61M8
Heb Leta hivyo viwanja tuvione. 🤣🤣🤣Next time hata hio AFCON inafaa tufanye hosting bid pekee yetu, because tutakua the only country in East Africa with all the requirements.
CAF requirements
1. 2 stadiums with more than 40k capacity
2. 2 stadiums with more than 20k capacity
3. 2 stadiums with more than 15k capacity
Hivi vitu kwenu ndio vimeanza leo kumbe.? 🤣🤣🤣🤣 i know more than 20 groups zenye zinaenda everywhere Simba or Yanga go. Note. Everywhere ukumbuke teams zetu zinashiriki CAF champions league.Gor Mahia Fans Mombasa branch, these people will vumilia all hardship to go watch Gor Mahia Play no matter the location. Kule kwa wachawi they can’t even travel a 10km journey to watch their team play, unless entry is free.
View attachment 3301886
Nimecheka. 😂😂😂Hivi vitu kwenu ndio vimeanza leo kumbe.? 🤣🤣🤣🤣 i know more than 20 groups zenye zinaenda everywhere Simba or Yanga go. Note. Everywhere ukumbuke teams zetu zinashiriki CAF champions league.