Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This part alone can be a major city in Africa ..
IMG_6425.jpeg
 
Facts zipi baba .? hatutaki. 🤣🤣🤣
Basi nyamaza, najua inakuuma ndio maana huwezi nyamaza.

Fact 1.
Tanzanians hawapendi football and can’t break banks to attend matches unless it’s free of charge.

Fact 2.

Makwapa is ugly with substandard grass.

1744240718269.jpeg
 
Ila nyie jamaa wa humu tuache utani. Kuna ujinga kwa Mkapa hapo Tsh. 31 Billions na Pitch iko kama Jaruba la mpunga.

Yaani mpaka aibu yaani.
View attachment 3298204
Hao viongozi wetu wana akili gani vile?

Huyo mkandarasi wa Uwanja wa Dodoma Limonta ni expert wa PITCH ndio maana tenda yake Bernabeu ilikua for Pitch why wasingegawana na Mchina pale mkapa atengeneze Hybrid Pitch.

Imagine Tsh. 30 billions, Vyoo bado, Viti bado, Pitch ovyo ulichobadilisha Running Track, na TV tu.

What embarrassing moment.
Kitu anacho lalamika ichoboy01 kila siku, mama anapigwa sana au huenda naye anashiriki, Rais wa nchi haiwezekani unatoa pesa nyingi hivyo alafu hakuna kinachofanyika na unakaa kimya, naye anashiriki.
 
Ila nyie jamaa wa humu tuache utani. Kuna ujinga kwa Mkapa hapo Tsh. 31 Billions na Pitch iko kama Jaruba la mpunga.

Yaani mpaka aibu yaani.
View attachment 3298204
Hao viongozi wetu wana akili gani vile?

Huyo mkandarasi wa Uwanja wa Dodoma Limonta ni expert wa PITCH ndio maana tenda yake Bernabeu ilikua for Pitch why wasingegawana na Mchina pale mkapa atengeneze Hybrid Pitch.

Imagine Tsh. 30 billions, Vyoo bado, Viti bado, Pitch ovyo ulichobadilisha Running Track, na TV tu.

What embarrassing moment.
Kwahiyo uwanja ukichezewa mechi nyasi hazitifuki? Nn maana ya uwanja wa nyasi halisi huhiyaji matunzo makubwa?
 
Back
Top Bottom