Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eastleigh

Kama Posta mwanangu 🤣🤣🤣
2024-03-12 (1).jpg
 
08 April 2025
Nairobi, Kenya

Jiji letu Nairobi, zuri kwa drone lakini ukitembea kwa miguu ndiyo utaliona jiji ktk uhalisia wake

View: https://m.youtube.com/watch?v=LqrGTT8ikng
The Kenyan historian anakatisha mitaa ya mjini kati CBD ya jiji hili lenye sifa kibao Haile Sellasie, Kenyatta Avenue, Kimathi na mitaa mingine tajwa... matatu.... bodaboda ... wafanyabiashara wafunguka kuhusu jiji lao pendwa ...

We like criticizing.. that’s how some things get noticed and fixed. Remember the Chaka road in Kilimani? Its now fixed 👌👌
That’s why nilikusho tofauti yetu na yenu ninyi mkiwa na sifa za mama, kwa upande wetu tunakashifu
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Picha ya 1969, atakuambia mtanganyika ili tu kuficha aibu View attachment 3298021
These guys are very easy to read , Wanafanyanga projection, wanasema yale yanayoendelea kwao na hata hawaoni wanajianika- makosaa😂😂
Hujajibu hoja unarukia mada nyingine. 🤣🤣🤣🤣 kwanini nje ya mahakama kuna parasols za kuuza vitumbua.? Unadai ni maasai market 🤣🤣🤣 sasa inakuaje nje ya jengo muhimu kama mahakama kuu kunakua na hawkers shades like this.? 👇🏾View attachment 3297117je hapa ni bunjumbura.? 🤣🤣
 
Ila nyie jamaa wa humu tuache utani. Kuna ujinga kwa Mkapa hapo Tsh. 31 Billions na Pitch iko kama Jaruba la mpunga.

Yaani mpaka aibu yaani.
1000055650.jpg

Hao viongozi wetu wana akili gani vile?

Huyo mkandarasi wa Uwanja wa Dodoma Limonta ni expert wa PITCH ndio maana tenda yake Bernabeu ilikua for Pitch why wasingegawana na Mchina pale mkapa atengeneze Hybrid Pitch.

Imagine Tsh. 30 billions, Vyoo bado, Viti bado, Pitch ovyo ulichobadilisha Running Track, na TV tu.

What embarrassing moment.
 
Ila nyie jamaa wa humu tuache utani. Kuna ujinga kwa Mkapa hapo Tsh. 31 Billions na Pitch iko kama Jaruba la mpunga.

Yaani mpaka aibu yaani.
View attachment 3298204
Hao viongozi wetu wana akili gani vile?

Huyo mkandarasi wa Uwanja wa Dodoma Limonta ni expert wa PITCH ndio maana tenda yake Bernabeu ilikua for Pitch why wasingegawana na Mchina pale mkapa atengeneze Hybrid Pitch.

Imagine Tsh. 30 billions, Vyoo bado, Viti bado, Pitch ovyo ulichobadilisha Running Track, na TV tu.

What embarrassing moment.
Poleni baana,
Meanwhile…
IMG_3673.jpeg

Cheki hio pitch mtu wangu

View: https://youtu.be/KDa2xJSMekI

View: https://youtu.be/qmHojL3NwTg?si=N-LRmbEYHCYJUx6c
 
Back
Top Bottom