ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,412
- 88,497
And he's busy comparing South C with Kariakoo!😂😂It's called the Nairobi National Park, you moron. Proof you've never left your god-forsaken country.
The only Capital City in the World with a National Park on its door step.
😅 😅 😅 😅
Bongolala
Wakenya bado wanaishi kwenye past. Huyu hapa Dr Janabi akigombea WHO CEO Africa
View: https://youtu.be/pXDLSwRBKhE?si=V-Z4CI7u2kTe4_ea
kondoo zinafananisha timu zao za mashambani na timu za Tanzania. 😂😂😂
Kuingia nusu fainali tu Simba Sc anapewa hii pesa.
View: https://x.com/mickyjnr__/status/1910214052019679491?s=46
Kuwa Mkenya Tu Tayari Ulisha Fuzu Kuwa Mjinga na ZezetaHapakuwa na fungulia mbwa hapo makwapa, 😂😂😂😂😂 View attachment 3299013
Aibu ya kufungwa magoli mengi. 😂😂😂Timu zao zimepata nini kutoka caf mwaka huu
Unaelewa mzee kinachoongelewa?Kwahiyo uwanja ukichezewa mechi nyasi hazitifuki? Nn maana ya uwanja wa nyasi halisi huhiyaji matunzo makubwa?
Hapakuwa na fungulia mbwa hapo makwapa, 😂😂😂😂😂 View attachment 3299013
Ukizaliwa kunya automatically unakuwa hauna akili. 😂😂😂Ila Kunyans sometimes mnakua kama makundi ya kondoo kiakili. Look carefully viti viliondolewa hakuna viti eneo hilo.
Yaani jau mmoja akisema yote yanaingia kama kondoo
Wanakafatiaha kale ka pumbavu kenye govi. 🤣🤣🤣 hapo unaeza Ona very clear kwamba viti vya eneo hilo vimeondolewa.Ila Kunyans sometimes mnakua kama makundi ya kondoo kiakili. Look carefully viti viliondolewa hakuna viti eneo hilo.
Yaani jau mmoja akisema yote yanaingia kama kondoo
Unaelewa mzee kinachoongelewa?
Kwa hiyo pitch yetu imetengenezwa kwa ajili ya Jua tu, not All weather kiasi mvua ikinyesha inageuka Jaruba?
Pitch Drainage system shida maji kutuama na bado unafanya marekebisho ambayo hayaonekani zaidi ya Running Track toka 2023?
Mbona before walikua vizuri kuitunza? Iweje leo igeuke jaruba?
Hii mechi mvua ilinyesha that day ila angalia pitch ilivyo?
View: https://youtu.be/Zdm58rfdQ1I?si=BE3mIn0cEWQ3hDF9
Mzee don't look me with hatred ya Magufuli, look at the reality.
If kwako ni sawa tu basi hakuna shida.
Ila ni aibu kubwa kuwa broadcasted na hii pitch
View: https://youtu.be/v7TZTAl3ZSY?si=nW5uh9RL9jjcp3Do
I feel kama vile wanakutana kuweka vikao kabla ya kuja humu ndio ujinga gani wote kuwa na akili ile ile kwa kitu kilicho wazi?Wanakafatiaha kale ka pumbavu kenye govi. 🤣🤣🤣 hapo unaeza Ona very clear kwamba viti vya eneo hilo vimeondolewa.
Usishangae kukuta wana group huko Pm. 😂😂😂I feel kama vile wanakutana kuweka vikao kabla ya kuja humu ndio ujinga gani wote kuwa na akili ile ile kwa kitu kilicho wazi?
Ivi washawahi hata pigana vijembe?
Nilishasema humu nikaambiwa ni wa serikali itafanya itakavyo.Tatizo hawataki kufunga uwanja, wanatangaza kufunga uwanja lakini kila mwezi utasikia uwanja unatumika.
Ukiwa unatumika kazi inayoendelea lazima tu itasimama kwa muda,
Hapo after nyasi kumea ilitakiwa iachwe kwa muda.
Sure thing hiyo no wonder hawaparuaniUsishangae kukuta wana group huko Pm. 😂😂😂
Wanaondoa viti kidogo kidogo sijui wanaogopa lini.Nilishasema humu nikaambiwa ni wa serikali itafanya itakavyo.
Marekebisho yatafanyikaje ikiwa kila siku una ratiba ya matamasha?
Ripoti ya CAG ijayo usishangae Mkapa ipo over 50bn na hakuna cha maana pale kisa walidelays muda hadi mkandarasi akaomba hela zingine.
Imagine hata viti hawataki kuondoa kuogopa matamasha watakaa wapi.
Huwa wanaogopana kuambiana ukweli. 😂😂😂Sure thing hiyo no wonder hawaparuani