Unaelewa mzee kinachoongelewa?
Kwa hiyo pitch yetu imetengenezwa kwa ajili ya Jua tu, not All weather kiasi mvua ikinyesha inageuka Jaruba?
Pitch Drainage system shida maji kutuama na bado unafanya marekebisho ambayo hayaonekani zaidi ya Running Track toka 2023?
Mbona before walikua vizuri kuitunza? Iweje leo igeuke jaruba?
Hii mechi mvua ilinyesha that day ila angalia pitch ilivyo?
View: https://youtu.be/Zdm58rfdQ1I?si=BE3mIn0cEWQ3hDF9
Mzee don't look me with hatred ya Magufuli, look at the reality.
If kwako ni sawa tu basi hakuna shida.
Ila ni aibu kubwa kuwa broadcasted na hii pitch
View: https://youtu.be/v7TZTAl3ZSY?si=nW5uh9RL9jjcp3Do