Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Very good. That's why it has produced teams and players that have beaten your local clubs and national team time and again.

Another question?
"With all fairness, generally, how good is your league?"

re-read and try to understand the question, then give your opinion.
 
Oya wakuu huyu Bertin kule YouTube anafatilia huu uzi. Tuponae humu humu 🤣🤣🤣. Leo kaonyesha mikocheni bhana. Halafu si ni juzi tu tuliyoka kujadili hio.?
 
Tanzanians hawapendi football. Look at how the stadium was empty, Alafu angalieni hiyo pitch😂😂😂

1744233221300.jpeg
 
Kijamaa kinatafuta engagement huku. 🤣🤣 leo hawakupi. Watu wapo busy na ushindi.
Engagement gani yet I’m just stating facts? Umezoea kutafuta attention unadhani wote ni Kama wewe?

I’m here laughing at your Stadium na wewe unaita engagement. By the way, mbona then umenijibu Kama indeed hakuna mwenye ananipea attention?

1744233877906.jpeg
 
Back
Top Bottom