Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Alisema sema hivi huyu fala Don YF sahii kakimbia uzi. Alidai hatutawahi kuona reli ya Sgr iki function labda wajukuu zetu, akasema hatutawahi kuona Dom govt city phase 2. Sahii kakimbia.Vision 3020
Acheni wivu, sisi sio nyinyi. Acha kujitia ujuaji vitu ambavyo kimsingi huvijui.