Kitu ambacho kinatajwa kuwa kibaya ni female circumcision (Female genital multination) the act of removing clitories. Hii Ndio wazungu walikuja kusema tuache (hata bongo tulipiga marufuku hii). Lakini wazee walifanya hii intentionally ili kuondoa those female pleasure parts in order to make them work hard.
Lakini hii male circumcision ni religious act imefanywa tangu dunia inaanza. Na Abraham aliifundisha hii. 👇🏾
View attachment 3290188sasa ikiwa Abraham alifundisha hii na ipo kwene bibilia. Na wewe nimeona ukisema ulilelewa na Catholic church, kwahiyo licha ya kukaa darasani umetoka patupu.? 🤣🤣🤣 Yani umekaa darasani since class 3 na umetoka zuzu hivyo hivyo.?
Unakuja hapa unasema ni uchawi kutahiriwa.? 🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾. Mzee nenda hospitali hiyo ni aibu kubwa.