Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kasarani inawapea baridi kweli kweli, na imagine bado haijaisha😂😂😂.

Ati Roofs zinafanana.😂😂

This was Kasarani Before
View attachment 3289438

Kasarani now
View attachment 3289439
Huu uwanja na Talanta umeumiza wengi kule South. ,
1743509469464.jpg
 
Hasara Tanzania wenye ndege za cash. 🤣 🤣 🤣

View: https://x.com/cobbo3/status/1906662924610879629

That what happens when you do things as a knee jack reaction to inferiority complex. Air Tanzania was revived as a result of public pressure and embarrassment in reference to a superior neighbor ( Electified SGR too) but both were not ready for prime time. That part. The lesson here: compete at your level and don’t bite more than you can chew ( ask Mexico and Canada , they move at their own pace not trying to outdo their superior neighbor) 😄😄
 
Mbali na ushamba, wewe ni limbukeni pia😂😂 tuambie ni wakenya wangapi wanatumia smart TV kiasi cha kufanya biashara ya satellite dish ife hapo kijijini kwenu
 
Utakufa bure kwa pressure.,, unajua kutofautisha smart na digital?. ., umechanganyikiwa naona🤣🤣🤣🤣
Upo dunia gani wewe.
😁😂😁😂 so tukisema digital ni uzamani digital and smart 😁😂😁🔥

Kama unahitaji dish sema upewe azam saiv tuna campaign ya kiwashe nikwambie tutakiwasha adi kenya mtalalamika sana nyie mbuzi 😂😁😁😁😁
 
Dunia ya kutumia "frying pan" inapitwa na wakati kwa kasi, mambo ni fibre jibwa koko.
 
Tatizo ni ngumu sanaa kuchakachua kisimbusi cha Azam. Kenge wengi wa North wanatumia DSTV bila kulipia kwa kuchakachua frequency zake kwa kutumia yale madekoda malaya na LNB za kusuka...

Ni ule uhuni wa kisimbusi kimoja kutumika mtaa mzima. DSTV wanaishi kwa hasara kunyaland... Hawana hela ya kununua haki za ku rusha hiyo ligi ya kuchezea kwenye mazizi ya ng'ombe.
Azam shikilia hapo hapo.... Hakuna kuacha loopholes za kupata Channel za bure... Vunjeni mkataba mumlipe hela zake.
 
Yaani mko karne ya zamani sana, nani ananunua dish huu wakati!! hii ni ya mafukara wa vijijini, in Kenya almost every appartment and houses have internet connection, TV siku hizi ni smart, una download App ya DSTV, uko na Netflix, Youtube, n.k sio kung'ang'ana na ma wire juu ya roof na scrape metal eti dish, ushamba itauwa Watanzania walai😳😳, tunaongoza mnafata.., mishamba Pro Max!😀😀😀😀
Sasa kama ni hivyo, kwanini msi dowload Azam tv application.?
IMG_6122.jpeg
Badala yake mnalia kwa kukosa acces juu watu hawana Azam decoders.? 🤣🤣

Ila nyie ni mafala sana. Unakuja hapa kudai oooh eti huko kwenu kwasasa ni mwendo wa ku download Apps. 🤣🤣🤣🤣

Again.. Tz vyote tunavyo ni option ya mtu aamue afanyeje, na ni fahari kwetu kumiliki dish mingi + hizo smart TV. kwa maneno mepesi wabongo wanajiweza.
 
Sasa kama ni hivyo, kwanini msi dowload Azam tv application.? View attachment 3289943Badala yake mnalia kwa kukosa acces juu watu hawana Azam decoders.? 🤣🤣

Ila nyie ni mafala sana. Unakuja hapa kudai oooh eti huko kwenu kwasasa ni mwendo wa ku download Apps. 🤣🤣🤣🤣

Again.. Tz vyote tunavyo ni option ya mtu aamue afanyeje, na ni fahari kwetu kumiliki dish mingi + hizo smart TV. kwa maneno mepesi wabongo wanajiweza.
Azam iko down ukilinganisha na other trendy apps, standards zenu ziko way below!., mbona na nyie mnaweka masufuria kwa roof instead of buying smart Tvs?
 
Tatizo ni ngumu sanaa kuchakachua kisimbusi cha Azam. Kenge wengi wa North wanatumia DSTV bila kulipia kwa kuchakachua frequency zake kwa kutumia yale madekoda malaya na LNB za kusuka...

Ni ule uhuni wa kisimbusi kimoja kutumika mtaa mzima. DSTV wanaishi kwa hasara kunyaland... Hawana hela ya kununua haki za ku rusha hiyo ligi ya kuchezea kwenye mazizi ya ng'ombe.
Azam shikilia hapo hapo.... Hakuna kuacha loopholes za kupata Channel za bure... Vunjeni mkataba mumlipe hela zake.
Watangojaa saana!

punguza uongo, wivu na chuki 😂😂😂😂
Si uongo, kama wangekua trendy basi wakenya wengi wangeitambua lakini wapi!.., section yao ya sports can't compete with Supersport ata robo!.., iko wired for Tanzanians not East Africans, ata Waganda niko sure hawaitambui..,
 
Back
Top Bottom