Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A better version of CCM kirumba . Naamini Kirumba ikiwekewa seats na kufanyiwa rennovation inaweza kuwa kubwa kuliko Nyayo stadium. Anyways Hongereni kwa kujaza 30k seats . Tz derby huwa ni over 60k plus
Wacha kulinganisha Nyayo stadium na ile kituko cha Mwanza. Even Kirigiti stadium is better. Talking of numbers, Mashemeji derby has always been played at Kasarani Stadium with near-100% attendance
FB_IMG_1743423412024.jpg
images - 2025-03-31T151604.171.jpeg
images - 2025-03-31T151333.729.jpeg
images - 2025-03-31T151230.280.jpeg
 
Bro!..🤣🤣🤣😂… why ru so fake ?… in the US , only homeless people wear such fake BB caps . There is nothing official LeBron James Miami Heat Cap looking like this . Americans would think ur a crackhead if you walk on the streets wearing this..is like walking in Dar wearing a brown Yanga jersey ( only a foreigner might do it)…. Am saving this photo… it’s funny..🤣🤣🤣
View attachment 3288967
downloadfile-146.png
Screenshot_20250326_224932_Photos.jpg

Since wakutoe marinda,matako yako na yenyewe fake
 
Analazimisha watu waumie kwa kuandika anapenda watu wakiumia! 😂😂😂
Yaani 60k fans analinganisha na 17k fans!
Hapo ndio unaona namna gani we take things for granted sisi tunaona kawaida sana kumbe wapo watu wanatamani hata wauze Figo wafike levels zetu, nakuambia siku Kunyaland ikipata BRT, electric trains dunia itasimama yote 😂😂😂
 
Leo nilikuwa bar fulani kuna channel waliweka ilikuwa inaonesha derby yao, aisee nilikaa kimya nikawa nasikiliza comment za wadau, ofcz wengi walikuwa hawajui timu zinazocheza, mm nikawa nawaambia hizo ndiyo Simba na Yanga za Kenya, wengi wakawa wanasema mbona wanacheza kwenye kiwanja kidogo namna hii? Nikawaambia huo ndiyo uwanja wao mkubwa huko Kenya, wengi walishangaa sn na wakauliza mbona uwanja mbaya hivi? Alafu mbona timu zao zina jezi mbaya? Nikawaambia hiyo ya kijani inaitwa Gor mahia, jezi zao zimebuniwa na anayebuni jezi za Yanga, wengi wakaniambia ni jezi mbaya, nikawa sina jibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

...wengi walikuwa hawajui timu zinazocheza
So kwenye hiyo bar, mijitu hawajawahi kusikia timu inaitwa Gor Mahia, the only regional club with a continental trophy?? Wao wanajua tu Yanga na Simba!!

...mbona wanacheza kwenye kiwanja kidogo
So hao wadau 'wadau' wako hawakujua kwamba Kenya Kuna uwanja wenye capacity ya 60k?🤣🤣

...wakauliza mbona uwanja mbaya hivi?

Kijana wa Tandale, uwanja mbaya aka makwapa ipo Dar na ilishapigwa ban na CAF kitambo sana. Hao 'wadau' wako are they even aware of this?

Bongolala, your desperation levels have hit the ceiling
 
The first causality of this new regime will be Azam, fans are really fighting tooth and nail for Hussein to end the broadcasting right of the that useless thing.


Huwa tanaambia wachawi hapa ati no Kenyan has Azam decoder na wanapinga😂😂
View attachment 3288834
Kwahiyo hii comment ya mpumbavu mmoja huko face book ndio nini yani.? 🤣🤣🤣 yeye ni nani.?
 
Mmekula pesa yetu imechangamsha league yenu mnajifanya mnataka superstore.Je muda wote hao superstore wamewapa nini? Mbona mlikuwa hoi alipokuja Azam ndio mmechangamka kidogo.
Superstore ndio nini?

Alafu pesa ni za Mwarabu, ama you have a stake at Azam? Again for your information, Azam didn’t re-energize Kenyan league, the league has become lively because of the new KFK leadership. Yule wa kitambo alikuwa bure sana, jamaa angekuwa hadi saa hii hata hile game ya Kenya Vs Gabone haingechezwa nyayo. Jamaa angeipeleka hata Burkina Faso hili apate Risk, commute allowance and unimaginable allowances, yule jamaa alikuwa mkora.
 
Back
Top Bottom