mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,666
- 7,013
I don’t need your suits , got enough but you need shoes and that’s a fact ( swallow your Bongo pride).View attachment 3288373View attachment 3288374
Ukihitaji suit ya size yako niambie nikununulie babu jinga
na huyu ni waziri wao wa madini kenya anaitwa joho 001😂😂
wakat tanzania derby ni ya nne kwa ubora africa au hujui 😂😂😂😂😂Commentator mwenyewe kasema it's the best derby in East Africa 😂 😂 😂
Kamlilie yeye sio Mimi, tuma malalamishi kwa mtangazaji wa Azam 😂😂😂wakat tanzania derby ni ya nne kwa ubora africa au hujui 😂😂😂😂😂
Wameingia kwa sh 5Umesikia hao waliojaza uwanja ni wasukuma au wanyamwezi?
Wanyamwezi sivyo?🤣🤣Wameingia kwa sh 5
A better version of CCM kirumba . Naamini Kirumba ikiwekewa seats na kufanyiwa rennovation inaweza kuwa kubwa kuliko Nyayo stadium. Anyways Hongereni kwa kujaza 30k seats . Tz derby huwa ni over 60k plusUnaumia ukiwa Tandale upande gani?
View attachment 3288567
😂😂 Kmmk nyang'au ni shamelessIn short Shabana FC wakikuja Tanzania will be the leading Teams with most gate collection revenue?😂😂😂.
Yanga get’s an average of Ksh2M per home match which translate to less than 10k spectors at Makwapa every match🤣🤣😂😂
Kwani hamna Goverement petrol station kwa shuguli kama hizi ?Tuko imara, m23 watakwambia kudeal na KDF sio rahisi View attachment 3288563View attachment 3288564
Kenyans have filled Nyayo Stadium for two consecutive weeks.
Gor Mahia Vs FC Leopards.
kelele nyingi na ni 17K capacity 😂😂
90min shot on target 1Leo nilikuwa bar fulani kuna channel waliweka ilikuwa inaonesha derby yao, aisee nilikaa kimya nikawa nasikiliza comment za wadau, ofcz wengi walikuwa hawajui timu zinazocheza, mm nikawa nawaambia hizo ndiyo Simba na Yanga za Kenya, wengi wakawa wanasema mbona wanacheza kwenye kiwanja kidogo namna hii? Nikawaambia huo ndiyo uwanja wao mkubwa huko Kenya, wengi walishangaa sn na wakauliza mbona uwanja mbaya hivi? Alafu mbona timu zao zina jezi mbaya? Nikawaambia hiyo ya kijani inaitwa Gor mahia, jezi zao zimebuniwa na anayebuni jezi za Yanga, wengi wakaniambia ni jezi mbaya, nikawa sina jibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unaitwa Sokoine stadium. Kama Alaska mwananguu.😂😂Cheki ushuzi kutoka best league in Africa, kama Europe mwanangu NairobiWalker
View: https://x.com/FKihamu/status/1906350783035035859?t=21ovYArfCfLuOIwPKX-5ZA&s=19
I don’t need your suits , got enough but you need shoes and that’s a fact ( swallow your Bongo pride).
View attachment 3288760View attachment 3288762View attachment 3288763
Ali hassan mwinyi nadhani ukifanyiwa rennovation ya maana inaweza kuwa na seats hadi elfu 80,ule uwanja ni mkubwa sanaA better version of CCM kirumba . Naamini Kirumba ikiwekewa seats na kufanyiwa rennovation inaweza kuwa kubwa kuliko Nyayo stadium. Anyways Hongereni kwa kujaza 30k seats . Tz derby huwa ni over 60k plus