Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Happy Halloween gang…
IMG_0448.jpeg
 

Why would I be scared. Any good political analyst knows Ethiopia is arming herself due to a potential Nile conflict. The building of the mighty GERD dam along Blue Nile and a proposal for another one has rattled Egypt which has threatened military action. Ethiopia has no chance against Egyptian forces but they are enhancing their capabilities one step at a time .. ( interesting that Russia also arms Egypt to a lesser degree than the US but it also shows the influence of super powers ). Now go figure ….😜
 
Mkuu hapa umezingua kichizi.
Kimsingi ukatubu.
Niliacha kuchangia huu Uzi.
Lakin comment yako imekushusha vyeo vyote.

Hakuna justification ya kuua kwa kilichotendeka mwaka Jana.

Week iliyopita tumeona hapo France, watu walivyofanya uharibifu. Lakin serikali ilikamata tu vijana na kuwafunga.

Mwaka Jana wangefanya the same. Sio kuua vijana tu hovyo hovyo.

Ili ni Doa kwa CCM. Na wasipokuwa makini. Litawaangusha wote.
Nina uhakika. Watasalitiana. Damu ni Kali sana na inalia vibaya mno
Welcome back Instanbul. (Istanbul)
 
Back
Top Bottom