Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,227
- 33,444
Hawataki kukubali kwamba the stadium was fully sold. Hata kule Kisii kuna mashabiki wa Shabana wamebaki nje juu uwanja ulijaa.Shida sio kununua ticket, shida uwanja umejaa. Yani ticket zimeuzwa zikaisha. Wacheni unafiki.