Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hakuna dabi ikiyowahi kuchzwa bure. Usitafute pa kukimbilia. 🤣🤣🤣Derby za kuingia free usituletee hapa tafadhali.
Level tulinazo kimpira wa vilabu na ushabiki nyie mtafika huko after a decade.
Kwanza league yetu ni ya 4 kwa ubora Africa nzima, Simba vs Yanga ni dabi ya tatu kwa ukubwa Africa.
Ajabu eti kenya nao wanashindana na sisi while league yao haipo hata top 20. 🤣🤣🤣