Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

maskini kama huwezi elewa
Siwezielewa vile mapicha zinaombwa ama vile zinatumwa WhatsApp? Ni nini siwezielewa hapo?😂😂😂.

Kama biashara ni yako Mbona usipige picha pekee yako? Mbona unaomba picha WhatsApp? Picha enyewe ni low quality meaning ilikuwa inapigwa kisirsiri hili mwenye biashara asione 😂😂😂
 
Nadhani wewe ukaoshe vyombo sasa. 🤣🤣🤣
Sawa baboon.

IMG_0519.jpeg
 
Watanzania ni wajinga lakini hakuna mjinga Kama huyu concordile 101, jamaa Ana omba picha za WhatsApp alafu anajaribu kutudanganya hapa na biashara za 400 bob a day😂😂🤣.
 
Nilikuambia wewe ni maskini tu huwezi jilinganisha na majority of tanzanians, sasa hivi unakimbilia ooh zimetoka whtsapp .haya umetumiwa za direct from my phone ambazo zina interval ya dakika
 
Quality ya picha will just say that hizi ni picha zimepigwa kisirisiri hili mwenye biashara asiwapate 😂😂🤣
kwikwi imekuwa quality tena sio whatsap? hahaaa i once told you njoo nikupe ajira, msimu wa ufuta unakaribia njoo nikutupe lindi ukanunue ufuta mwehu wewe.
eti 74k no ya kupiga kelele humu ndani. hiyoni hela ya bia
 
Nilikuambia wewe ni maskini tu huwezi jilinganisha na majority of tanzanians, sasa hivi unakimbilia ooh zimetoka whtsapp .haya umetumiwa za direct from my phone ambazo zina interval ya dakika
Interval za dakika gani. You don’t own anything you idiot.
 
kwikwi imekuwa quality tena sio whatsap? hahaaa i once told you njoo nikupe ajira, msimu wa ufuta unakaribia njoo nikutupe lindi ukanunue ufuta mwehu wewe.
eti 74k no ya kupiga kelele humu ndani. hiyoni hela ya bia
Bado Nangoja business permit. Post it here.
 
Back
Top Bottom