ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ππππMiradi gani inayohujumiwa? ππ
Unatapatapa
View: https://x.com/drcyrilo/status/1890769109974933644?s=46
View: https://x.com/luhagampina/status/1888625129686794258?s=46
ππππMiradi gani inayohujumiwa? ππ
Unatapatapa
πππππ watu wamekaa kimya tuHuna lolote na mamiradi yenu hayo ya kupigia picha
munashindwa kusimamia mradi wa pesa nyingi kila kitu kinajiendea tu hakuna usimamizi watu wanakula pesa ovyo alaf munataka faida labda musubiri dunia ipinduke πππππHuna lolote na mamiradi yenu hayo ya kupigia picha
ππππ hayati aliyasema kua akiondoka yatarudi kwani ni uongo??Huna lolote na mamiradi yenu hayo ya kupigia picha
swahilitimes.co.tz
Your country is full of gloomy people. Ever wondered why comedy imewashinda huko bongoslum. Ngumu sana kuchekesha people who are dead inside.Hebu fuatilia bongo. Uone vile hakuna makasiriko Tz. Ni happiness everywhere.
Taifa lenu labda mnatuzidi upumbavu na Fujo zisizokua na maana.
Comedy imeshinda.? π€£π€£π€£.Your country is full of gloomy people. Ever wondered why comedy imewashinda huko bongoslum. Ngumu sana kuchekesha people who are dead inside.
miaka mitatu mitukufu ππππ from 57 trillion to almost 100trillionHuna lolote na mamiradi yenu hayo ya kupigia picha
machawa wako wapi sasa kutuhubiria na haya sasa ππππHuna lolote na mamiradi yenu hayo ya kupigia picha
π€£ π€£ π€£ Ndoto za mchana hio. Mimi hata sijui a single comedian or comical content creator from bongoslum.Comedy imeshinda.? π€£π€£π€£.
Comedy industry ya bongo kwasasa Ndio kubwa in this region.
Mlikua mkituzidi stand up comedy lakini sahii you guys are nothing to us. Tunazo platform kubwa mbili za ucheshi wima. Thatβs cheka tu and watu Baki.
alaf machawa wamejaa kuliko watendaji wa serekali, kila mtu anajilia tu keki tu ovyoHuna lolote na mamiradi yenu hayo ya kupigia picha
π€£π€£π€£ sasa mshamba wewe utajua nini kuhusu hii dunia ya sasa. Nakuwekea hawa hapa wacheshi wima watano ambao ni new generation na wote wako na impact kwenye jamii kuliko any Kenyan comedian of new generation . Na followers wao more than 1 million . ππΎ. Login β’ Instagram. mwingne huyu. ππΎLogin β’ Instagram. Instagram. Login β’ Instagram. Login β’ Instagram.π€£ π€£ π€£ Ndoto za mchana hio. Mimi hata sijui a single comedian or comical content creator from bongoslum.
Kenya almost every week kuna live events za comedy na watu wanajaa, content creators are doing the biggest numbers in the region.
yani deni limeongezeka kwa asilimia 62 ndani ya mwaka mmoja ππππ»ππ»ππ» kutoka 56 mpaka 92Miradi gani inayohujumiwa? ππ
Unatapatapa
asa sgr imennza kufanya kzi lini ndugu? unajua hiyo report imecover kipindi cha kuanzia 1/7/2024 mpaka 30/06/2024. sgr imeanza kufanya kazi july unategemea taarifa yake utaikuta kwenye hiyo report. mbona rport imeelez vizuri sababu ya hasara, kuwa ni kuharibika kwa madaraja na upungufu uliojitokeza wa vichwa. itakuwaje kma trc walitumia kiai tajwa kwenye kurekebish mdaraja yliyokuwa yamesombw na maji?sio miradi ya ovyo mumeshindwa kusimamia miradi baba levo anazunguka tanzania nzima akitumia pesa za serekali kusifia tu yani machawa ni wengi kuliko watendaji wa serekali πππππ
nyaya za uneme wa SGR zinaibiwa na hakuna report inatoka yoyote mindombinu inahujumiwa ovyo tu alaf utegemee faida, hio sahau mpaka kufa
siku zote mali bila usimamizi wa daftari huisha bila habari