Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunawapea grants na unaongea mbaya?
ila mishahara mnashindwa kulipa
1743103884090.png
 
how do kenyans benefit, kwa mkopo wa riba kubwa. which is best kutafuta mkopo toka nje ili kuweza kufnace activities zenu au kugombnia mkopo wa ndani kati ya srikali na wananchi ili kufinance activitie ambayo inthe longrun kwanza ni short term na ina high interest rate
Kenyans deposit by putting their money in fixed account of those banks, the banks then go ahead to invest in treasury bonds and bills. Through the interest earned from those bonds and bills, the banks gives a higher percentage to those who saved with them.

Anyway I don’t expect you to know such juu unakuanga bonoko sana.
 
unamanisha kuwa kama wakala au sio. kuna utofauti wa bank loans na treasury bonds . kwenye den lenu la taifa wamespicify treasury bonds na commercial bank loans. commercial loans zinakuja na interest kubwa acha kubwa na zinawafaidisha shareholders tu so nyinyi waokota makopo
 
Hata hizo bonds and bills ni loans, watoto wako pia ni wajinga hivi?😂😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom