ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,355
- 88,446
hoja hapa ilikuwa watu wanaelekeza kuwa sgr ulikuwa mrdi wa ovyo bila kujua source ya hasaraichoboy01
TRC kupata hasara haimaanishi kuwa SGR ndio inazalisha hasara hiyo, Kuna ile reli ya kati ya zamani ndio tatizo na ndio hasara zote zinatoka huko. CAG amesema kwa kifupi kuwa TRC wanahitaji mabehewa na vichwa vipya, unafikiri alikuwa nanamanisha vichwa vya SGR or MGR?
It must have elements of political correctness… ( I still remember way back rediculous comedy making fun of Moi while he was watching. Try that in Bongo , Utajua hujui)🤣🤣Comedy yao huwa dry sana.
Wewe unafatilia hii industry au napigizana kelele na mpumbavu tu.? 🤣🤣🤣Kwa hivyo huko kwenu hamna comedians ama? Mbona wenu hawaalikwi huku?
We kaoshe tu vyombo mzee. 🤣🤣🤣 unajua nini kuhusu burudani famba wewe.? 🤣🤣🤣 naona mafala wenzako wa nakuchekekeleaIn Tanzania for event to be filled they must spice it with a Kenyan comedian. Without Kenyan comedian in attendance no one will come.
70% of that public debt ni ya wakenya through Treasury bonds and bills. Again our GDP was $114B according to world Bank.The Gross Domestic Product (GDP) in Kenya was worth 108.04 billion US dollars according to official data from the World Bank. The GDP value of Kenya represents 0.10 percent of the world economy. source: World Bank
sasa kwa hii hesabu trillion 10/usd129=usd 93.02bil public debt
GDP-PUBLIC DEBT=surplusUSD 15.38
sasa hawa ndo wataweza fikisha reli malaba kweli
watu wanajichotea hakuna hata uwoga😂😂Huna lolote na mamiradi yenu hayo ya kupigia picha
madeni ya ATCl hayajotolewa kwenye vitabu ila ruto aliwachezea akili akahamisha madeni kutoka kwenye madeni ya kq akayavisha juu ya vichwa vyenu musokua na akili 😂😂😂😂Madeninyako ndio yaliwekwa pembeni? Usituletee hasira za ATCL kupata hasara hapa.
munashindwa hata kusimamia miradi watu wanakula pesa hadharani hakuna hata uwoga 😂😂😂😂 pesa zinakopwa watu wanakula tu bila huruma alaf munapoteza millions of money baba levo kuzunguka tanzania nzima atangaze uchawa, sijui tumerogwa wapi aiseeMamiradi ya hovyo,hata yakifa kwangu ni Bora Kuliko hizi hasara
kawafufulia ndege ATCL ikiwa na deni la 35b leo deni limefika 95b within 3 yrs 😂😂Aliyefikisha mashirika hapa anajulikana ni yule Jamaa aliyekuwa analazimisha Watumishi wanunue line za TTCL 😂😂
bro mark my words subiri report ya 2024/2025 SGR itakuwemo u will see kama loss hakuna au ipo na tena itakwenda zaidi ya hapo, sasa hvi hakuna uwajibikaji ni kula pesa na kusifiana tu 😂😂😂ichoboy01
TRC kupata hasara haimaanishi kuwa SGR ndio inazalisha hasara hiyo, Kuna ile reli ya kati ya zamani ndio tatizo na ndio hasara zote zinatoka huko. CAG amesema kwa kifupi kuwa TRC wanahitaji mabehewa na vichwa vipya, unafikiri alikuwa nanamanisha vichwa vya SGR or MGR?
unamjua alisema SGR mi mradi wa ovyo?hoja hapa ilikuwa watu wanaelekeza kuwa sgr ulikuwa mrdi wa ovyo bila kujua source ya hasara
Kwanza kabla ya hapo mmejiandikisha sio tunapiga kelele tu ila kura hatupigi.kawafufulia ndege ATCL ikiwa na deni la 35b leo deni limefika 95b within 3 yrs 😂😂
alaf bado munalazimisha uchawa na upuuzi ww ulitaka ATCL isifufuliwe nchi isiwe na ndege?
ulimsikia nape alivotwambia ??😂😂😂Kwanza kabla ya hapo mmejiandikisha sio tunapiga kelele tu ila kura hatupigi.
Baboon you can’t wish me away.We kaoshe tu vyombo mzee. 🤣🤣🤣 unajua nini kuhusu burudani famba wewe.? 🤣🤣🤣 naona mafala wenzako wa nakuchekekelea
So zile Bilioni 99 serikali yenu ilipea ATCL ilikuwa ya nini?😂😂😂madeni ya ATCl hayajotolewa kwenye vitabu ila ruto aliwachezea akili akahamisha madeni kutoka kwenye madeni ya kq akayavisha juu ya vichwa vyenu musokua na akili 😂😂😂😂