Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,628
We maku siku hizi unasahau kunikumbusha kuoga
We maku siku hizi unasahau kunikumbusha kuoga
😂😂😂😂😂😂😂hasira za nn budaaContent zero, alafu ujaze emojis za kujichekesha, what a buffoon
Combined Profits za KCB and Equity Bank are more than profits za Top 20 companies in Tanzania.
KCB $500M
View: https://x.com/KCBGroup/status/1899820679911932125
Equity $400M
View: https://x.com/KeEquityBank/status/1905139773540311152
Wakati KQ is now aiming for financial freedom, ATCL on the other hands continues to drown in losses.😂😂
View: https://x.com/swahilitimes/status/1905194315350933899
Miradi ya hovyo 😁😁miaka minne mumeshindwa kuisimamia hasara inatoaka 102 to 224b alaf munajisifu hapa munaupiga mwingi ovyo kabisa miradi inahujumiwa mchana na usikua hakuna mtu anafatilia miradi inajiendea tu watu napiga pesa mpaka wanajisahau alaf muko hapa kusifiana uchawauchawa tu 😂😂😂😂😂😂
deni la taifa linatoka 56trillion to 100trillion within 3 good years tukiuliza miradi iliofanyika munaanza kurusha ngumi za hewani
yani inafkia hatu miundombinu ya reli nyanya za reli zinaibiwa zinakuja kukamatwa baada ya miezi 5 watu tumekaa kusifiana uchawauchawa tu😂😂
tuendelee kusifia tu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
No doubt, Kenya is among the happiest countries in Africa. Never a dull day in Kenya. 🤣 🤣 🤣 Kuna vitu bongoslum huwezi fanya, no wonder they among the saddest countries in the world.
View: https://www.instagram.com/reel/DHseSp2i1SU/?utm_source=ig_web_copy_link
hasara lazma ziwepo hakuna msimamizi vitu vinajiendea tu watu wanakula pesa mpaka wanajisahau, pesa zinakopwa ovyo machawa wamejaa kuliko hata watendaji wa kazi 😂😂Yani even after Serikali trjed to manage ATCL losses by giving them Tsh 100B bado wamepata tu hasara?
Meaning the real loss by ATCL is $75M and not $35M😂😂😂
sio miradi ya ovyo mumeshindwa kusimamia miradi baba levo anazunguka tanzania nzima akitumia pesa za serekali kusifia tu yani machawa ni wengi kuliko watendaji wa serekali 😂😂😂😂😂Miradi ya hovyo 😁😁
Leta hapa ATCL,TRC wakipata faida na hayo mamiradi yenu ya hovyo awamu ya 5 😂😂
Mamiradi ya hovyo ya wakurupukji,cosmetic projects 😁😁sio miradi ya ovyo mumeshindwa kusimamia miradi baba levo anazunguka tanzania nzima akitumia pesa za serekali kusifia tu yani machawa ni wengi kuliko watendaji wa serekali 😂😂😂😂😂
nyaya za uneme wa SGR zinaibiwa na hakuna report inatoka yoyote mindombinu inahujumiwa ovyo tu alaf utegemee faida, hio sahau mpaka kufa
siku zote mali bila usimamizi wa daftari huisha bila habari
Miradi ya hovyo 😁😁
Leta hapa ATCL,TRC wakipata faida na hayo mamiradi yenu ya hovyo awamu ya 5 😂😂
Mwisho mashirika yaliyoboreshwa na Samia yamepta faida
View: https://www.instagram.com/p/DHs7pRuCAfZ/?igsh=ZmxudmJoaXhxeWkw
Kulingana na wewe kiashiria ni bongo music sio? 🤣 🤣Kwahiyo hii video ni kiashiria cha taifa kuwa happy.? 🤣🤣🤣🤣 wewe ni zuzu haswaa.
Miradi gani inayohujumiwa? 😂😂watapataje faida miradi inahujumiwa nani anasimamia miradi so far pesa zinakopwa ovyo machawa wamejaa kuliko watendaji 😂😂😂😂😂😂
Mamiradi ya hovyo ya wakurupukji,cosmetic projects 😁😁
Nimesema weka hapa faida za hayo mamiradi yenu kuanzia 2020-2015 🤣🤣🤣
Mwisho mashirika yote yenye input ya Mama yanakula faida 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DHs7pRuCAfZ/?igsh=ZmxudmJoaXhxeWkw
Huna lolote na mamiradi yenu hayo ya kupigia pichahebu chukua nyumba yako ya urithi alaf usiisimamie pesa ikapatikana ww kunywa pombe tu mpaka hati ua nyumba uiweke bond alaf useme baba hakutuachia urithi mzuri kisa tu umeshindwa kusimamia urithi wako 😂😂😂😂😂😂
Hebu fuatilia bongo. Uone vile hakuna makasiriko Tz. Ni happiness everywhere.Kulingana na wewe kiashiria ni bongo music sio? 🤣 🤣