Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
continue wanting bro😀😀😀😀under construction 😀😀😀😀 hata nyie ujenzi bado
continue wanting bro😀😀😀😀under construction 😀😀😀😀 hata nyie ujenzi bado
wakenya wanakam hapo ni professionals pekee..kazi mingi hulemea watzdiHaha wakenya wapo huku wamekuja kununua ardhi na kujishughulisha na kilimo na wengine wanafanya biashara ya mazao kuleta Kenya, ni zaidi ya 4M actually.
Wamejazana wakamba wenhi sana wanajishughulisha na kilimo cha maharage na vitunguu, tembea uje uone wenzenu huku vijijini, hapo Longido peke yake yalirudishwa jumla ya ttactors 200 za wakenya pekee.wakenya wanakam hapo ni professionals pekee..kazi mingi hulemea watzdi
Umeniburudisha. Ngoja tuone Nikon d 3300 hahahaMaeneo atakayoenda BONGO yatadefine status yake 😀😀😀😀 Nasubiria kwa hamu maeneo atakayoenda maana ni mtu of means 😀😀😀 (A Man of Means) anatoka kwenye family yenye Business na other interests in Tanzania na anamiliki NIKON D3300 😛.
Looking forward to your photos.
sgr haijengwi kwa miez miwili yakwenu mumejenga 3.5 yrs hakuna mtu aliwauliza sasa tulia tufanye kazi😀😀😀continue wanting bro😀😀😀😀
ata huku kenya watz ni wengi sana kazi yao omba ombaWamejazana wakamba wenhi sana wanajishughulisha na kilimo cha maharage na vitunguu, tembea uje uone wenzenu huku vijijini, hapo Longido peke yake yalirudishwa jumla ya ttactors 200 za wakenya pekee.
Hakuna ombaomba mwenye uwezo wa kumudu kulipia gharama ya kusafiri kuja hadi huko kwenu, mimi mwenye hata gharama za kunifikisha huko siziwezi, hao kama ni watanzania kweli basi wana hali nzuri ya maisha kuliko millions of Kenya kept in Kibera human zooata huku kenya watz ni wengi sana kazi yao omba omba
Tanzanite imeanza chimbwa juzi tu.. Its unpopular like silver and gold.. But its value.. Oooh boy!kwanza hata Tz haitambuliki...people dont even know this country wacha vile wanajifanya fanya hapa...people out there think tz is a city inside Kenya...trust me I am not lying...
When they speak of Kilimanjaro they speak of Kenya
hata niliskia some south africans saying Diamond Platnumz is a Kenyan
the truth is nobody even knows if tz is a country or a city...it is one of the insignificant countries of Africa like Togo, Gambia, Sierra Leone, etc...in Africa, people only know Egypt, Kenya, Nigeria, Morocco, South Africa and Ghana..
kwanza hata Tz haitambuliki...people dont even know this country wacha vile wanajifanya fanya hapa...people out there think tz is a city inside Kenya...trust me I am not lying...
When they speak of Kilimanjaro they speak of Kenya
hata niliskia some south africans saying Diamond Platnumz is a Kenyan
the truth is nobody even knows if tz is a country or a city...it is one of the insignificant countries of Africa like Togo, Gambia, Sierra Leone, etc...in Africa, people only know Egypt, Kenya, Nigeria, Morocco, South Africa and Ghana..
Tujitangaze kwan tuna shida ya kujitangaza...wakenya lazma mjulikane coz hakuna nchi iliyo na njaa afu isifahamike watapataje msaada wa chakula ???lqzma wapige kelele wapate msaadaNilikwambia kitambo tuu, watu wa maana wenye pesa zao na ushawishi duniani wanaijua Tanzania nyinyi endeleeni na misifa ya kujulikana na vijitu vidogo vidogo vinavyoshinda twitter.
Yaani baada ya Rais kusafisha safisha nakuhakikishia itakapofika kwenye 2021 hivi, utaniambia Tz itakavyo pepea. Si kwenye utalii, barabara, ndege, elimu, Afya, reli, gesi, mawasiliano, n.k hawa jamaa watafura kweli kweli.Tujitangaze kwan tuna shida ya kujitangaza...wakenya lazma mjulikane coz hakuna nchi iliyo na njaa afu isifahamike watapataje msaada wa chakula ???lqzma wapige kelele wapate msaada
Watasepa humu mbona ...nachopendea tz nchi yangu ni kwamba tunafanya mega project nyingi kwa wakati mmoja cku zikiisha kuna watu watachange id humu na kujiita watz nyie subirin tuuuYaani baada ya Rais kusafisha safisha nakuhakikishia itakapofika kwenye 2021 hivi, utaniambia Tz itakavyo pepea. Si kwenye utalii, barabara, ndege, elimu, Afya, reli, gesi, mawasiliano, n.k hawa jamaa watafura kweli kweli.
Huko kwenye mbio mmetushinda walaaaaa hatukatai sababu watanzania hatuwezi shindana mbio na wezi ....et jamani ulishawai ona wapi mwizi hana mbio??? Wezi wote wanajua mbio na ndio kinachowaokoa mabwege nyieMAGICAL KENYA.........................SPORTS & ADVENTURE EDITION![]()
ATHLETICS: Olympics,World City Marathons,Commonwealth Games,All African Games,World Under 18s Champions
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 656894View attachment 656895
![]()
![]()
![]()
![]()
Watoto wa kibera wakinywa maji safi yenye afya kutoka dc
HahahahaHuko kwenye mbio mmetushinda walaaaaa hatukatai sababu watanzania hatuwezi shindana mbio na wezi ....et jamani ulishawai ona wapi mwizi hana mbio??? Wezi wote wanajua mbio na ndio kinachowaokoa mabwege nyie