joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Wapi Kenya kwenye list ya LDC😛😛😀
Tafuta kwenye google utaiona hilo list ya nchi zenye njaa zaidi duniani, acha uvivu kutafutiwa information, Kenya ipo kwenye hali mbaya sana, wewe endelea kujifungia huko Kibera bila kutafuta information.