Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,335
- 18,199
Nyinyi mtabondwa lini?Ukibondwa umebondwa tu. Kubali yaishe. Sio kuanza kujiteteaš
Nyinyi mtabondwa lini?Ukibondwa umebondwa tu. Kubali yaishe. Sio kuanza kujiteteaš
Dodoma is coming up. View attachment 3258564View attachment 3258565View attachment 3258570Mji unajengwa bhana.
Dodoma ikila lami, itakosa comparison nje ya Dar mkuu. Dom ni moto wa kuotea mbali, no uswazis no slums. 95% of Dodoma city is well planed.Next budget waweke mikeka ya lami hiyo Dom ni moto wa kuotea mbali sana
Aloo mombasa inabidi ipigwe bomu yotee waanze upya, sio kwa uchafu huu aisee š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£same mombasa before some lisptics and eye shadow šššš
unapost angle kwa angle za CBD na nyali kwisha kulikobakia kote ni ushuzi na uchafušššš
View attachment 3257803View attachment 3257804View attachment 3257805View attachment 3257806
View attachment 3257809View attachment 3257812
View attachment 3257805View attachment 3257806
Vumbi nation š¤£š¤£š¤£š¤£Dodoma is coming up. View attachment 3258564View attachment 3258565View attachment 3258570Mji unajengwa bhana.
Ikila lami hii dom, hakuna kamji ka kuiteteresha kando ya Naipori.Vumbi nation š¤£š¤£š¤£š¤£
Kuna ulazima gn kujiita mtanzania?Mikocheni ni nini eti?
View attachment 3258481
Hivi hawa wa humu hawapandagi mtungi wao wa changaa! ššš
Nyie mmeshabondwa. Hiyo ndio stori ya mjini kwa sasaššNyinyi mtabondwa lini?
Aiseee Dodoma ni ya kijani kwa sasa, hawa wanusa gundi wamebaki kulalamika eti nchi yao ni jangwa.Dodoma is coming up. View attachment 3258564View attachment 3258565View attachment 3258570Mji unajengwa bhana.
Unajifariji au siyo. Tuliwaambia Dom hakuna city itatia mguu East and Central Africa when completed.Vumbi nation š¤£š¤£š¤£š¤£
Sio kando ya Nairobi, hata Dar haitogusa kabisa. Dom ni jiji la kisasa, haya mengine ni majiji ya kizamani sn.Ikila lami hii dom, hakuna kamji ka kuiteteresha kando ya Naipori.