Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,922
- 103,791
Inabidi tuwape maua yao naona wameipatia sasa zile glitches sasa tunaanza kuzisahauNdio.
Mtanzania anafaidika 100% hapa kumbuka Bamburi cement ndio supplier wa “simiti” hapa! Yaani kwa kila ksh 1, 50 cent inaenda kwa mwenye Amsons group!
View: https://x.com/BamburiCement/status/1895020231853998080
Endelea na daily dose!! 🤣🤣
Serikali ya Tanzania ina 70 percent of share hapoMtanzania ama mwarabu?
100%!Serikali ya Tanzania ina 70 percent of share hapo
🤣🤣 ila hii kisumu eti ni city nayo. 👇🏾
View: https://youtu.be/HLZwtMnLWzc?si=awUBMdZZUJgG0yuX. Moshi town is far much better than this tiny town of kisumu. BTW this is the most recent video of kisumu village enter. 🤣🤣🤣 hii kisumu labda ishindanishwe na Morogoro town
Ni kamji kadogo sana. 🤣🤣 kamji kadunchu. Eti wanasema kameendelea kuliko Arusha. 🤣🤣. Hapo ndio utajua kama haw wakenya ni wapunbavu.Huu mji ni kama una Streets mbili tu