Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Oneni hili zuzu. 🤣🤣🤣Sio Kisumu, Kisumu naijua, Mwanza, Dar is slum, Dodoma n.k. nazijua zoote kote kote.., hizo tulimaliza kitambo sana., hamna lolote la kuniambia kutoka Tanzania humu.., hiyo sio hoja kabisaaa.., uzi ulichoka zamani., mliishiwa pumzi, mmeshindwa kufika levels za Kenya sasa mnajiliwaza usiku na mchana tu., kwa vipicha na vi clips., poleni sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Utakataa nikisema wewe tahira.?