concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,313
- 14,355
Kwahiyo nilitoka dar Leo na ki vitz ntawahi kufika kabla ya gari Moshi kenya
Ukibondwa umebondwa tu. Kubali yaishe. Sio kuanza kujitetea😁Wewe bongolala Tanganyika iko hata na basketball national team? Do Tanzanians even know how basketball is played you included?
Kwahiyo nilitoka dar Leo na ki vitz ntawahi kufika kabla ya gari Moshi kenya
Na ujue Lolwe estate pale Kisumu pekee ni zaidi ya Mwanza CBD kwa wingi wa ghorofa., a clip isikudanganye uanze kujitekenya.,Ni kamji kadogo sana. 🤣🤣 kamji kadunchu. Eti wanasema kameendelea kuliko Arusha. 🤣🤣. Hapo ndio utajua kama haw wakenya ni wapunbavu.
Kuna ghorofa gani hapa? 😂😂😂 Hizi slums?Na ujue Lolwe estate pale Kisumu pekee ni zaidi ya Mwanza CBD kwa wingi wa ghorofa., a clip isikudanganye uanze kujitekenya.,
View attachment 3258475
Watanzania hatuongei hivyo! Kuongea kama unaimba?Mikocheni ni nini eti?
View attachment 3258481
Yeah ni slums, sitabisha, uko sahihi dogo, ila ni zaidi ya Mwanza CBD..,Kuna ghorofa gani hapa? 😂😂😂 Hizi slums?
Kuna ghorofa gani hapa hizi takataka.? 🤣🤣🤣Na ujue Lolwe estate pale Kisumu pekee ni zaidi ya Mwanza CBD kwa wingi wa ghorofa., a clip isikudanganye uanze kujitekenya.,
View attachment 3258475
Uchizi ni kitu kibaya sana. 🤣🤣🤣Yeah ni slums, sitabisha, uko sahihi dogo, ila ni zaidi ya Mwanza CBD..,
View attachment 3258487
Huwa mnaongea nikama mnalia hivi.., mnasound kizembe kizembe, kama mtu aliye choka na maisha hivi, yaani kaushamba flani.., L is pronounced as R.., mko down Mzee🤣🤣🤣Watanzania hatuongei hivyo! Kuongea kama unaimba?
hebu leta Mkikuyu aongee Kiswahili au Kiingereza hapa! Mtafute CEO wa Equity Bank!Huwa mnaongea nikama mnalia hivi.., mnasound kizembe kizembe, kama mtu aliye choka na maisha hivi, yaani kaushamba flani.., L is pronounced as R.., mko down Mzee🤣🤣🤣
Ni kama uboya hivi..,Uchizi ni kitu kibaya sana. 🤣🤣🤣
Nyie ni taifa nzima, sio watu wa kabila flani.,.,hebu leta Mkikuyu aongee Kiswahili au Kiingereza hapa! Mtafute CEO wa Equity Bank!
Yaani ni kitu kibaya sana dogo, na pia ukiongezea kukua boya, kilaza, akili ku duaa.,n k., ni mbaya sana!!.,Uchizi ni kitu kibaya sana. 🤣🤣🤣
Kwamba watanzania wana sound kizembe.? 🤣🤣🤣🤣. Ngoja nikupe mifano. This is how Tanzanians talk. 👇🏾 skiliza hii taarifa.Huwa mnaongea nikama mnalia hivi.., mnasound kizembe kizembe, kama mtu aliye choka na maisha hivi, yaani kaushamba flani.., L is pronounced as R.., mko down Mzee🤣🤣🤣
Kijana mbona unapenda kujidanganya why hata usigoogle why Mlikosa EACOP?.Tulikosa EACOP because of land issues na sio insecurity, mbona mnapenda kudanganywa? LAPSSET is ongoing well, nyinyi wenye hamna security issues mbona msijenge barabara ya Bagamoyo ?
We are safe thanks to KDF. When last did you hear Al Shaabab bombed Nairobi or Mombasa? It’s more than 10yrs now.
Kwa lipi? Siku tulichukua Kismayu UPDF ilikuwa hapo? Siku ya Afmadhow UPDF walikuwa hapi? UPDF wanauliwe kule Mogadishu kila siku kama mende. When last did you hear terrorism activity at Jubaland? Area controlled by KDF?
General wa jeshi lenu amekaguliwa pale Rwanda kama mwizi, yani hiyo aibu wewe huoni?😂😂😂
Tufanye mfano tu record videos zinazoskika sauti zetu kati ya mimi na wewe, tuone nani ana sound zombie. 🤣🤣🤣Ni kama uboya hivi..,
Nyie ni taifa nzima, sio watu wa kabila flani.,.,
Jamaa ina mitipula huyo. Chek ndinga alizo park mixer hilo jumba. 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/reel/DGvh-AvtzBy/?igsh=N2xxbjZ2OTR4eWgy.