Huu ndio mji wa pili kwa ukubwa tanzania?
Tushazizoea hizi ngonjera za mediocres.Huu ndio mji wa pili kwa ukubwa tanzania?
Mnapatanga wapi courage ya ku compete na Kenya? This is like kericho, not even on the list of big towns
Ukiwa umejengwa.. sio ukiwa umechimbwa mitaro tuUwanja wa Arusha utafanana hivi kwa karibu. ππΎView attachment 3254984kwa muonekano huu, hizi ni standards za viwanja za dunia ya kwanza huko.
Umeendika nini hiki we fala.?Ukiwa umejengwa.. sio ukiwa umechim wa mitaro tu
Hata vitu vya kutumia macho?Tushazizoea hizi ngonjera za mediocres.
tuulize sisi tuliokuwepo tanga that day tukusimulie ππππππNi nani Sasa kama sio Samia? π
View: https://www.instagram.com/reel/DGoQusPMgqp/?igsh=MWRtaWEwOXU0dnBw
Hadi Japan huko First world kuna wafanyakazi nje wanashindilia watu ili milango ifungeπππππLakini KUNGUNI TRANSMISSION Rider aka MATHR3333 anajiona yupo juu πDid that photo show anyone going through the window? Eti in Nairobi...wtf is Nairobi? Have you seen Dubai metro during rush hour? Or London underground or Tokyo metro during rush hour? We ain't talking about Matatu here
hakuna lengo bila mikakati hata tupewe miaka 100 kama bei ya gas na umeme haitashuka kisawasawa basi sahau hiloππLengo ni 2034 by 80% wewe unaongea ujinga ππ
Nimekwambia uko out of touch bwana hater
ruzuku inasaidia bei gani kupungua so far nakwambia mjini 6kg of mtungi wa gas ni 25k what about vijijini huko ??ππππRuzuku ipo Ili kupunguza bei ya nini? Hater bana ππ
camera 40 ni sawa na million 514 alaf munataka wananchi wachekeleeππUlitaka Nchi ilie? ππ
na sijui kwann so far inatumika nguvu nyingi sana nastaajabu πππPlease guys huu uchawa tuukemee naona muelekeo mbaya kabisa.
Mama yenu anayeza kupata kura na upendo bila hata uchawa wa kelele. Ikiwa kila anacholenga anakitimiza.
Mama amezungukwa na Controversy nyingi za uuzaji wa ardhi na rasmali na uwekezaji wa kuficha ficha mpaka unatia shaka.
Nidhamu ipo chini ya utendaji, vitu vipo slow.
Kama mna nia ya kumfanya mama apendwe telekeza vitu vyote kikamilifu.
Sio unafungua alafu unaingia mitini kuongeza kero. BRT ujenzi kusua sua huku jijini na barabara zimetifuliwa ni mambo gani haya?
Mkakati wa nishati safi ni mzuri naupongeza. Ila hampo serious kuwaza tozo kwenye nishati safi itakayofanya watu waditch hiyo nishati warudi kule kule.
Punguzia kodi kwenye gari za CNG muone zitajaa, Gesi ni yetu serikali badala ya kutolea mimacho tozo, si iangalie volume ya gesi wanayouza.
Hamjifunzi nchi za Uarabuni na Mafuta yao ikiwa wanauza kwao wenyewe mafuta cheap.
Narudia PUNGUZA UCHAWA, ONGEZEA KAZI NA UTEKELEZAJI.
ONDOA MACHAWA GOVERNMENT WEKA WATAALAMU.
Mwenyewe nashangaa Kuna watu bado wanajibizana na Huyu mpumbavuSiungi mkono uchawa kaka na sijawahi uunga na ndio maana choisi variabo yupo ignored kwenye IDs zake zote. πππ
Hapo nilikuwa naweka kitu sawa tu.
24hrs kariakoo haiwezi kufaulu unless kuwe na strategics za muda mrefu tena za kisawasawa nje ya hapo wanapoteza muda na pesa ππNa wameendaa event juzi hapo Kariakoo..sijui wametumia sh ngap kwenye event ile ya kufungua 24hrs.
Yaan pesa zinatumika ovyo siku hiz wakati tuna challenges kibao.
Msimbazi street imezidiwa, hakuna hata sehemu ya kupita, huku boda, huko bajaji, huku machinga., huju ujenzi...Na siku hiz pamekuwa pachafu sana.
Mimi ningekuwa mayor.
Marufuku ya all vehicles kupita msimbazi street kutokea msimbazi A hadi uhuru street with exception of Mwendokasi tu.
Mtaa unaofuata wa likoma ungekuwa one way na Ndanda oneway...halafu naweka mataa kwenye makutano yake na uhuru road.
leta ushahidi hapa nasuburiaNadhani ni pamoja na Surveillance system!
kumbe atafutwe ?? it means hawapo so far sasa tuwatafute ππππichoboy01 atakwambia ni siasa ππππ
View: https://www.instagram.com/reel/DGp2cQsNkpD/?igsh=d2NvdDJzZDZhdm9q
orodhesha viwanda zaidi ya elf 30 nasubiria kuviona hapa πππππichoboy01 Hivi ni viwanda kweli kweli sio sawa na vyerehani ππππ
View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==
πππππππππππππWe ruka sarakasi zote ila jua ajaye ni ME
Hatari.na sijui kwann so far inatumika nguvu nyingi sana nastaajabu πππ
yani nguvu inayotumika utasema kuna upinzani wa kutisha wanagombani points π
πππππππ»ππ»ππ»ππ»ππ»huelewi nn wakati visit yake ni kuzindua phase II? au ubishi ni league yako? Kwani kasema kazindua kiwanda kipya?