Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gitaru interchange taking shape
Screenshot_2025-02-28-08-05-40-32_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
In kwale a masterpiece of a housing project is taking shape. In no time all towns in Kenya will be bigger than Tanzanian cities
20250228_181624.jpg
20250228_181647.jpg
20250228_181650.jpg
 
Wacha upumbavu Nimefanywa upanuzi! Mwanzo kilikuwa hakizalishi saruji bali clinker tu!
😂😂😂😂😂😂😂 wacha nicheke tu umeelewa nilichoongea nimekwambia hichi kiwanda kipo toka 2020 kinafunguliwa kitu gani
 
Kilikuwa kinazalisha clinker tu saahii kinazalisha cement!
clinker and cement ni baba na mtoto
yani ukizungumzia clinker ni over 70% ya makinikia yanayozalisha cement so huwez kuzalisha clinker pekee ukawa huna ndoto ya kuzalisha cement
 
Back
Top Bottom