chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Kanasema hawataki big things wakati wapo obsessed na supercars wapo obsessed na mansions, wapo obsessed na high rise buildings ila kwenye big social events ndio simplicity inatafutwa kuficha ufukara 😂😂😂Kijamaa kinakomaa kutuelezea eti hatujastaarabika, kumbe the big problem kwao ni hela. na wapo hapa kujipiga kifua kuhusu pesa. 😆
Yo, let me tell you something my brother, bongo watu wanazo pesa. Na hatuna jambo dogo. Kuanzia washua hadi uswahilini huko. 😅