stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,768
- 40,092
Nasikia nyang'au Teargass alikuwa anapiga picha aje aringishie hapa JF kabla ya tukio🤣Wakenya mnajisifu mnajenga sana ila majengo mengi mnayojenga yapo chini ya viwango
Poor quality buildings. That's the truth
View attachment 3696986
Si mnakumbuka hata wahandisi wenu waliwaambia
View attachment 3696987
Miaka ya 1990s wakati nasoma tulikuwa na mabasi ya namna hii. Kuna basi linaitwa Super Najmunisa linafanana na haya.
rating hzo ambazo tunashika nafas ya 6 kwa umaskini duniani kwa sasa 😂😂😂😂Maskini halijui ata nan anatoa hizo rating 😂😂😂 results of bluffing as someones wife ndo hizo, ebu tuambie sovereign credit rating inatoka kwa nan 😂😂😂
tumeshindwa kumprote dar coach alianza vzr mpaka amekufa 😂😂😂 hii nchi🙌🏻🙌🏻🙌🏻Master Fabricators to the World
Hii hapa ni miaka ya 1998s - Tanzania hiyo. Linganisha na mikokoteni yako hiyo
nilidhani ni 110 trillion kumbe tushafika 114.3 trillion 😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 40% to gdp ratio
View: https://www.instagram.com/p/DZcxkloK_Q-/?rpxt=OWowdzM5bWd3bzBi
nilidhani ni 110 trillion kumbe tushafika 114.3 trillion 😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 40% to gdp ratio
View: https://www.instagram.com/p/DZcxkloK_Q-/?rpxt=OWowdzM5bWd3bzBi
Linganisha na kenya basi nchi yako tuone 😂😂😂 kenya ukiweka huo ulinganifu utapata ni maskini kuliko burundi.Stakehigh , are you reading this ….🤣🤣🤣
View attachment 3697082
Huyu jamaa fala sanaTuache uongo jamani, ni tonge lipi ambalo Tz kanyang’anywa.? Unaeza chukia serikali lakini kuwa mkweli usipotoshe jamii ati kwasababu serikali iliyopo madarakani hauipendi.
Anataka tuinue mapanga tuanze kuonekana ni watovu wa nidhamu 😂😂😂. Muache tu watu wana mzoom tu.Huyu jamaa fala sana
Mbwa akishapata kichaa, dawa yake ni kupiga risasi tu.Tuache uongo jamani, ni tonge lipi ambalo Tz kanyang’anywa.? Unaeza chukia serikali lakini kuwa mkweli usipotoshe jamii ati kwasababu serikali iliyopo madarakani hauipendi.
Tarakea is my stomping ground. Pamechakaa sana. Compare to Illasit on Kenya's side and you'll see why Kenya has a bigger GDP.I was in Loitoktok last week then decided to go visit a friend in Tarakea last week and the kind of faces I was seeing crossing from Tanzania could make you laugh.