Those stadium lights are so primitive. Unakuwa na lights kwenye poles imagine uwanjani utaona crossed shadows wakati mpira unaendelea🤣🤣🤣From hakuna floodlights to hakuna mechi za usiku to hiyo ni international match? 🤣 🤣 🤣 Next utasema unataka kuona rocket ikiland kwa stadium usiku. 🤣 🤣 🤣