buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Jamaa anazingua.
Ivi kweli Tanzania tungekua na Inshu hiyo muda huu tungekua na vikao kweli?
Hao wa kibiti wangekua washakomaa huko Congo, Same na wale wa Kusini, Mapango ya Amboni, Ujambazi wa Bank, Ujambazi wa Kigoma.
Op. Kimbunga
Op. Kibiti
Op. Pori la Loliondo
Op. Mwanza
Zilifuta kila kitu.
Ila kuna watu wanachekea.
Mbona Tanzania iliweza timua Wanyarwanda 20k Nchini baada ya Chokochoko kule Kigoma, Kagera kama sehemu ya kutia adabu M23 2013.
Congo Jau sana hawana Mtu kama Mamadou Ndala siku hizi na kufanya kazi na jeshi lao ni jau sana Jeshi linawaza muda wote kutoroka au kujisalimisha.