ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,065
- 3,217
NHC ya kenya huwezi kamwe kulinganisha na Giant nhc ya TanzaniaHow many projects have they done we compare it with our NHC in Kenya? Ama unafikiria Tanzania pekee ndio iko na NHC?
NHC ya kenya huwezi kamwe kulinganisha na Giant nhc ya TanzaniaHow many projects have they done we compare it with our NHC in Kenya? Ama unafikiria Tanzania pekee ndio iko na NHC?
NHC Kenya's projectsNHC ya kenya huwezi kamwe kulinganisha na Giant nhc ya Tanzania
Kwanza hii kazi ya utumishi inapaswa kuwa ya mkataba na isizidi miaka 10 mtu anatoka anawaachia wengine.Ivi watumishi huwaga wanapewa target kweli?
Kingine unaweza kuta tunawaonea bure sababu unakuta mtumishi akijaribu kufanya kazi watu wanaletea siasa maeneo yao ya kazi wanaamua kuacha wasubiri maelekezo.
Siasa zipunguzwe kwenye utendaji, zaidi ya siasa zibaki kuomba matokeo.
Mfano mzuri, KITENGO CHA TANROAD cha hifadhi ya Barabara Watumishi tuseme Dar watafanya kazi gani maana wakiamua kila vijiwe vya Bodaboda, Machinga, bajaji watoke hifadhi ya Barabara utasikia siasa zinaingia waachwe waachwe licha ya Sheria kukataza.
Mzee sikumkubali kwa hili la Wamachinga
Nipo Tabora mjiniDuh nikaangalie Fursa za Ardhi kuwekeza huko, maana si kwa spidi inayokuja hapo.
Nani mwenyeji wa huko humu?
Ndio Raha ya Tanzania popote ni home kabisa na wenyeji hamna roho mbaya ya kunyima fursa.
You are an idiot, our top 2 foreign exchange sources areYaani sisi top 1 yetu 1 ndio rest of the Kunyaland top 5 😅😅😅 sasa hiyo GDP yao ni ya nini?
View attachment 3236843
Ndio Mzee,kwani export value ndio Mapato?Mapato hayo yote bado watu wanakopa mabilioni kwa matrilioni
Ebu tuonyeshe projects za hiyo NHC ya Tanzania tulinganishe na ya Kenya.NHC ya kenya huwezi kamwe kulinganisha na Giant nhc ya Tanzania
prank unamchafua mtu namna hiyo?If that was the case, it could have reflected in a boom in construction projects in your capital. Tell us any meaningful real estate development projects going on in Dar and their value
Your age can’t allow you to understand what pranks are.prank unamchafua mtu namna hiyo?
Mambo mrembo 😁Your age can’t allow you to understand what pranks are.
Your age can’t allow you to understand what pranks are.
Viwanja bei ikoje? Na sehemu iliyo na Stesheni ya reli ni ipi SGR.Nipo Tabora mjini
Hii new stadium ya Uganda itaisha before Arusha mini stadium of 20k seater imalize kuchimba fou dation.
View: https://youtu.be/lYCT1uUEpaY?si=hlnjUFSYVzUqcU_Z
Wewe ni prank gani unaongelea? Did I mention prank anywhere? Hizi ni dalili za kuzeekaprank unamchafua mtu namna hiyo?
Miradi ya NHC ni mikubwa na mingi kuliko kampuni yoyote ya real estate in East and central Africa.Your NHC has only completed 4 projects so far😂😂😂
View attachment 3236964
Only one ongoing project, hizo zingine are all stalled.
View attachment 3236967