NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,976
Mada ni wewe kuita Wakenya roho mbaya kisa wengine wao kachukizwa na Diamond kuchukuliwa. Usibadilishe mada. In fact ingekuwa huko Bongo serikali yenu ingepinga, saa zingine mimi huona serikali yetu inakuwa nzuri kwa majirani sana kupitiliza. Ipo siku tutapata yule Rais wa tit for tat mtakielewa.Umesoma response ya Airtel kwa Hilo swali la jamaa yenu.
Haya mpeleke will Pozzee, kaandamane kabisa Pozee apewe tangazo la Airtel.