AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,283
- 3,200
Kiufupi Raila kama President AU ingekuwa disaster motions zote kuhusu suala la eastern DRC zingeminywa na Rwanda, Uganda na Kenya wangeendelea kuwa madalali ya uporaji kule DRC! Hata miradi ya SGR kwenda Kindu toka Burundi ingekuwa sabotaged! Sasa subiri uone mziki utakaochezwa dhini ya Kagame na M23!
Hawa kenge ni wazandiki sana. Ni virus hatari.
Wangetupiga bei kweupe tukiona.