Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

labda wataenda na charter flights!
Naona AFCON 2027 inaweza kua na vituko vingi kwenye facilities.

Jamaa wakaona wasukumize zote NAIPORI 😂😂😂 kujiwahi mapema.

Dodoma Msalato inakamilika, SGR ipo, Arusha KIA tayari ipo, Arusha Airport ipo, Znz tayari ina International Airport, Dar ina International Airport.

Hotels Dar, Arusha, Znz zinakidhi, Dodoma I hope serikali iwe serious na kufanyia kazi Dodoma Msalato Airport ikikamilika ili ofisi za Ubalozi na mashirika wahamie Dodoma, huenda Hotels zikaongezwa.
 
Kwa hivo mtu akifanya kazi ughaibuni alafu aje ajenge nyumba kwake ama asomeshe watoto wake ama anunue gari lake hilo linamaanisha wengine waliobaki ni lazy? Amejifanyia mambo yake mwenyewe alafu wengine wasio na anything to do with it waitwe lazy? Enyewe bongolala ni bongolala tu. 😂
Mnafanya kazi au mnafanya utumwa? 😂😂😂😂


View: https://x.com/NationAfrica/status/1890589503141638378?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1890589503141638378%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
 
69AC2C23-98D5-442E-A1A2-1F2501C6A36C.jpeg
C40D0C8B-CF82-43B7-BD58-F374895D1E73.jpeg

Sasa nichague basi la usiku niende somewhere in Bonge.
Imagine hapa ni Topestan.
😁😁😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 

Sio hiyo tu, ni wao kujiona wa maana kila mahali kumbe ovyo, jiulize kama ilivyosema Unaweza elewa foreign policy yao?


Ipo ipo kutimiza matakwa.

Njoo Foreign Policy ya Tanzania inaeleweka toka kitambo na imejengwa na misingi ya kueleweka ambayo imegusa nchi nyingi hapa Africa na Duniani kwa ujumla hasa Global South sana, ndio maana kwa ulingo wa Diplomacy tuko vizuri.
 
Sio hiyo tu, ni wao kujiona wa maana kila mahali kumbe ovyo, jiulize kama ilivyosema Unaweza elewa foreign policy yao?


Ipo ipo kutimiza matakwa.

Njoo Foreign Policy ya Tanzania inaeleweka toka kitambo na imejengwa na misingi ya kueleweka ambayo imegusa nchi nyingi hapa Africa na Duniani kwa ujumla hasa Global South sana, ndio maana kwa ulingo wa Diplomacy tuko vizuri.

View: https://x.com/RwigaraA40318/status/1890754983164817489

MY TAKE
Hawa wapumbavu hushindwa kujua where they belong a puppet nation kupewa AU presidency?? Kweli?? Haitakaa itokee! juzi East African Standby walipeleka majeshi eastern DRC ghafla Kundustan ikaanza ku-export coltan! Ndio maana Tshisekedi akaamua kuwatimua!
 
Inashangaza, imagine utasikia wanapokea mkopo wa $100m huku Tourism iko na $3bn.

Mambo hayataki pupa, kama kwa mwaka unakusanya hela hizo zote, weka mradi utegee kipindi flani tuseme miaka miwili mradi wa $500m Barabara ya njia 4 ifike sehemu kuelekea Dodoma inafika tu.

Ila ajabu utasikia wanaomba (Tzs 150bn) sawa na USD 65m kama bond ya TARURA road network miaka mitano?

$65m?????????

Kwa mwezi unakusanya Sh 3 trillion ($1.5bn)

Alafu $65m za kuwapa TARURA unakosa hadi uchangishe???

Mbona hizo za kutoa wiki tu wakiamua.
Ogopa watu wanaoongea sana. Mtu analipa wasanii wapige debe. Hadi wasanii chawa kutoka Kenya waje wapige debe. Hamna kitu hapo, atatembelea nyotq ya marehemu hadi 2030.
 
Back
Top Bottom