Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo stadium seater ngapi? 😂😂😂

Alafu Uganda Tz wanajenga different place cha ajabu Kenya inajenga One stadium Naipori.

Tanzania
Arusha
Zanzibar
Dodoma
Dar Es Salaam

Uganda
1. Kampala
2. Hoima.
3. Lira


Kenya
Naipori.
We have better stadiums outside Nairobi than the stdiums you have outside Dar is slum.
 
P
wewe ni mpumbavu wa mwisho acquire inatokana na neno Acquisition, a business term! A business transaction that involves a transfer of owneship of companies, business organizations, or their operating units! Sasa sijui unanifundisha nini mimi nyoko wewe! Huyo Mpumbavu wenu alikuwa na nafasi ya ku-negotiate na Wachina badala ya kuvunja mkataba! Sasa tunaletewa Wahab kumiliki bandari zetu!
Pale hamna bandari Geza ni majahazi zaidi ni Beach.Hatuna uwezo wa kupaendeleza sioni kwa nn tuzuie wenye uwezo wa kupaendeleza.
 
Mapato hayo yote bado watu wanakopa mabilioni kwa matrilioni
Inashangaza, imagine utasikia wanapokea mkopo wa $100m huku Tourism iko na $3bn.

Mambo hayataki pupa, kama kwa mwaka unakusanya hela hizo zote, weka mradi utegee kipindi flani tuseme miaka miwili mradi wa $500m Barabara ya njia 4 ifike sehemu kuelekea Dodoma inafika tu.

Ila ajabu utasikia wanaomba (Tzs 150bn) sawa na USD 65m kama bond ya TARURA road network miaka mitano?

$65m?????????

Kwa mwezi unakusanya Sh 3 trillion ($1.5bn)

Alafu $65m za kuwapa TARURA unakosa hadi uchangishe???

Mbona hizo za kutoa wiki tu wakiamua.
 
Back
Top Bottom