much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,065
- 21,548
Ile port ya inayofanya transshipment ya punda?Kuwa na akili ndogo huwa mbaya sana. Kwani hujui Lqmu Port did transhipment to Dar is slum just last month?
Ile port ya inayofanya transshipment ya punda?Kuwa na akili ndogo huwa mbaya sana. Kwani hujui Lqmu Port did transhipment to Dar is slum just last month?
Ila kule Lira Uganda kunafikika vp? Kama hata hapo Hoima kwenye bomba la mafuta na refinery ule uwanja haujakamilika!Hiyo stadium seater ngapi? 😂😂😂
Alafu Uganda Tz wanajenga different place cha ajabu Kenya inajenga One stadium Naipori.
Tanzania
Arusha
Zanzibar
Dodoma
Dar Es Salaam
Uganda
1. Kampala
2. Hoima.
3. Lira
Kenya
Naipori.
Kimsingi Tanzania hatuna waziri wa finance...nchi ipo ipo tu.Inashangaza, imagine utasikia wanapokea mkopo wa $100m huku Tourism iko na $3bn.
Mambo hayataki pupa, kama kwa mwaka unakusanya hela hizo zote, weka mradi utegee kipindi flani tuseme miaka miwili mradi wa $500m Barabara ya njia 4 ifike sehemu kuelekea Dodoma inafika tu.
Ila ajabu utasikia wanaomba (Tzs 150bn) sawa na USD 65m kama bond ya TARURA road network miaka mitano?
$65m?????????
Kwa mwezi unakusanya Sh 3 trillion ($1.5bn)
Alafu $65m za kuwapa TARURA unakosa hadi uchangishe???
Mbona hizo za kutoa wiki tu wakiamua.
Ukiachana na miradi yao binafsi, NHC wamehusika ujenzi wa miradi mingi ya ofisi za serikali Mtumba.Miradi ya NHC ni mikubwa na mingi kuliko kampuni yoyote ya real estate in East and central Africa.
Si huwa wanaponda uwanja wa Tanzania ati upo mbali na mjini, inakuwaje wanasifia huo wa Ug ambao upo porini kabisa. 😂😂😂Hiyo stadium seater ngapi? 😂😂😂
Alafu Uganda Tz wanajenga different place cha ajabu Kenya inajenga One stadium Naipori.
Tanzania
Arusha
Zanzibar
Dodoma
Dar Es Salaam
Uganda
1. Kampala
2. Hoima.
3. Lira
Kenya
Naipori.
Point kubwa sana umeongea. Mimi sa nyingine huwa naona hawa watu hawaoni aibu....wanakopa hadi 20mil USD hela ambayo ni ndogo sana, kuna WATANZANIA kibao ipo Tu hiyo imekaa benki.Inashangaza, imagine utasikia wanapokea mkopo wa $100m huku Tourism iko na $3bn.
Mambo hayataki pupa, kama kwa mwaka unakusanya hela hizo zote, weka mradi utegee kipindi flani tuseme miaka miwili mradi wa $500m Barabara ya njia 4 ifike sehemu kuelekea Dodoma inafika tu.
Ila ajabu utasikia wanaomba (Tzs 150bn) sawa na USD 65m kama bond ya TARURA road network miaka mitano?
$65m?????????
Kwa mwezi unakusanya Sh 3 trillion ($1.5bn)
Alafu $65m za kuwapa TARURA unakosa hadi uchangishe???
Mbona hizo za kutoa wiki tu wakiamua.
Hatuna hata mojaOh so mna uwanja mmoja tu wa Talaka kwa AFCON?
Mbona sizioni kwa completed projects? This is NHC website.Miradi nne.? Karibu majengo yote Kk na Posta ni NHC projects mzee. And so many buildings around the country. Ukitaka nikuwekee most recent pia nitakuwekea zaidi ya miradi kumi.
Remittance ni source of foreign exchange or not? Na hizo vitu ulataja hapo juu ni ya serikali yenu?🤣🤣🤣 Remittance ni ya serikali au ya lazy bones wanaosubiri wengine wahenyeke gulf wao wapokee tu na ya kutolea? 😂😂
2024.Hiyo ya tourism mliipata lini?
Kwa hivo mtu akifanya kazi ughaibuni alafu aje ajenge nyumba kwake ama asomeshe watoto wake ama anunue gari lake hilo linamaanisha wengine waliobaki ni lazy? Amejifanyia mambo yake mwenyewe alafu wengine wasio na anything to do with it waitwe lazy? Enyewe bongolala ni bongolala tu. 😂🤣🤣🤣 Remittance ni ya serikali au ya lazy bones wanaosubiri wengine wahenyeke gulf wao wapokee tu na ya kutolea? 😂😂
Hawa wachawi huwa wanaumizwa sana na mambo ya remittance😂😂Kwa hivo mtu akifanya kazi ughaibuni alafu aje ajenge nyumba kwake ama asomeshe watoto wake ama anunue gari lake hilo linamaanisha wengine waliobaki ni lazy? Amejifanyia mambo yake mwenyewe alafu wengine wasio na anything to do with it waitwe lazy? Enyewe bongolala ni bongolala tu. 😂
Well nimewahi jiuliza, may be Bertin yupo huko atafika tujue.Ila kule Lira Uganda kunafikika vp? Kama hata hapo Hoima kwenye bomba la mafuta na refinery ule uwanja haujakamilika!
labda wataenda na charter flights!Well nimewahi jiuliza, may be Bertin yupo huko atafika tujue.
Au siasa za mseveni kuwatuliza watu kuwa kila kitu Kampala wao vipi.
Ila naona Kampala, Hoima, Lira Zipo within 300km radius.
Labda Facilities ndio zinaweza kua jau.
Hii ndio metropolis? 😂😂😂😂😂😂😂
Kijana hao hawajaupdate, nimeona Morocco square ipo eti ongoing , wakati ishakamilika na inatumika.Mbona sizioni kwa completed projects? This is NHC website.
Shida yako wewe huongea tu bila evidence.
Remittance ni source of foreign exchange or not? Na hizo vitu ulataja hapo juu ni ya serikali yenu?
Kwanini na mama yenu kashindwa kunegotiate nao?wewe ni mpumbavu wa mwisho acquire inatokana na neno Acquisition, a business term! A business transaction that involves a transfer of owneship of companies, business organizations, or their operating units! Sasa sijui unanifundisha nini mimi nyoko wewe! Huyo Mpumbavu wenu alikuwa na nafasi ya ku-negotiate na Wachina badala ya kuvunja mkataba! Sasa tunaletewa Wahab kumiliki bandari zetu!