ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kwa nilivoskia itakua ni smart city itakua na kila kitu hospitali, vyuo vikuu, schools na makazi pia yametengewa sehemu yakeKwa anayefahamu kuhusu Magufuli City Dodoma Je
1. Total cost ni ngapi
2 Ina phase ngapi
3. Ni administrative capital tu ? au itakuwa na technopolis itakuwa smart city ? au ni purely administrative tupu
4 Kuna mpango wa kuwa na vyuo, au kitu chochote technology/ict realted
mradi kamili kwa nilivoskia ni 3b usd na ina awamu zaidi ya tatu mpaka nne