Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rendering yake ni kali, naona watu wanalalamika kwanini ni Olympic stadia.
Ni kwasababu ni govt facility, wana consider michezo yote, sema wanachoniuzi ni hiyo running track kuwa ya rangi hiyo, inakaa ki Africa Africa sn, waweke ya blue.
 
Wewe sokwe kijana toka hapo Tandale utembee ulimwengu. Kipi chana maana kwa hiyo street? Lack of exposure is a disease.
 
Huu uwanja wa dom me naona safi tu baada ya kupewa tafiti na maelezo.
Najua utakamilika mapema tu within this year also ni mkali
Ila vumbi nation kila kitu ni hapo kwenye slum ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜
From, tunajenga uwanja mkubwa zaidi Afrika to mimi naona huu wa 32k capacity safi.
 
Tofauti Ka-floor kamoja!
Acha wenge wewe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mbeya ni Kati ya Miji 6 yenye majengo marefu hapa Tanzania kuanzia 6 floors and above Kwa mujibu wa matokeo ya sensa.

The fact kwamba Majengo ya Mbeya Yako scattered isikidanganye unadhani Iringa inazidi achilia mbali hivyo Vijiji vingine ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Mbey a ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ