Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Da Humu ndani Ndio utajua Kuwa Wakenya Wana Wivu na Chuki sana dhidi ya Tanzania
Jamaa Wameumia Sana
Ila nimependa Kuona Sasahivi Watanzania Hawapo Nyuma Wanawapiga Kweli kweli Yaani Wakenya Sasahivi Wameshakuwa Wadogo Kama Piliton kwa Watanzania MitandaonšŸ˜‚šŸ˜‚View attachment 3231774
hahaha nimeona aisee kumbe kuna vita huko kuna jamaa anadai ati Tanzania ni socialist state ndio maana serikali inajenga vituo wakati huko kwao capitalist na individuals wanajenga! Cha ajabu haonyeshi hizo private bus terminals na anasahau all western nations wana bus terminals zinajengwa na municipal governments zao kama sisi!
 
Hapa ni kama unajitekenya 🤣🤣🤣
Katafute
1.Nguru doto hotel
2.Mount Meru hotel
3.Grand melia hotel

Hizi zote huna ka hotel kokote in Mombasa that come close

Oohps nilisahau Arusha iko na Stadium mbili one is still under construction.
Yes Arusha is far better likija suala la stadium

Kama unaona kwenye hili nakuonea twende ground. When it comes to beautiful and luxury estates Arusha can fairly compete with Nairobi. No doubts.

Heb leta ile takataka ya mombasa 🤣🤣🤣
Also Arusha has KIA. So Arusha ni bora as the matter of fact

Dongo kundu ni takataka gani wewe mbele ya mitaa za Chuga.? 🤣🤣

kisii labda ishibdane gdp na Sumbawanga .
Hiyo battle tulishamaliza kitambo mkuu, huyo mnuka nnya anajua.
 
hahaha nimeona aisee kumbe kuna vita huko kuna jamaa anadai ati Tanzania ni socialist state ndio maana serikali inajenga vituo wakati huko kwao capitalist na individuals wanajenga! Cha ajabu haonyeshi hizo private bus terminals na anasahau all western nations wana bus terminals zinajengwa na municipal governments zao kama sisi!
Mwingine Anakuambia Karne Hii Nchi ya Kijinga Inakimbilia Kutengeneza Vituo vya Mabasi wakati Wao Wapo Busy na Usafiri wa Anga
Eti wao wapo Wana Deal na Airport
Wakamuomba Aonyeshe Hiyo Airport Waliyo nayo Kuliko Tanzania
Akaishia KutukanašŸ˜‚šŸ˜‚

Saivi Wakenya Wanaiogopa Tanzania Vibaya Mno
 
Da Humu ndani Ndio utajua Kuwa Wakenya Wana Wivu na Chuki sana dhidi ya Tanzania
Jamaa Wameumia Sana
Ila nimependa Kuona Sasahivi Watanzania Hawapo Nyuma Wanawapiga Kweli kweli Yaani Wakenya Sasahivi Wameshakuwa Wadogo Kama Piliton kwa Watanzania MitandaonšŸ˜‚šŸ˜‚View attachment 3231774
Wait, somebody shared a Tanzanian bus station on a facebook page, instead of just appreciating it, Tanzanians saw an opportunity to bash Kenya but it's Kenyans that are hateful? Make it make sense.
 
Back
Top Bottom