Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Heheheheeeee kazi ipo kwa wanuka mavi, nafikiri lengo la serikali ni kuhakikisha tunaandaa hii michuano hata kama Uganda na Kenya wakishindwa, serikali imeshagundua lengo la Kenya ni kuona tunafeli kuandaa hii michuano ndiyo mana walipoona Tz inataka kuandaa wakaenda kuwashawishi Uganda waje kuiomba Tz tuandae pamoja zen wao wajitoe michuano isifanyike, hii yote ni kutokana na ukweli kwamba Kenya haina uwezo wa kuandaa hii michuano, sasa tunajenga uwanja na Dodoma. Do you know what will happen?

Dar
Zanzibar
Arusha
Dodoma

Wanuka nnya 👇👇
Nairobi pekee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Majokers 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Approval kwa vitu vinavyoonekana!
Leo hujasema ni Watanzania wanaojifanya wakunya! 😂😂😂
Kwanini hampendi ukweli!
I don't speak for the sake of speaking. Mtanzania akijifanya Mkenya nitasema, lakini siwezi Pinga Kila kitu for the sake of it. Hiyo ni tabia ya Bongolala.
 
Back
Top Bottom