Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
Tuwaulize wakenya mkopo kutoka kwa waarabu umekamilika?
Sisi tupo huku
View: https://x.com/SGR_tz/status/1887393459717161327
Port link imeishia wapi?
Tuwaulize wakenya mkopo kutoka kwa waarabu umekamilika?
Sisi tupo huku
View: https://x.com/SGR_tz/status/1887393459717161327
Ha ha ha maybe you should say billionaires (yes in $). But millionaires (in $) you are chit chatting with them in this forum.Endelea kuota, hio beach safari owner ni one Dutch by Bert Schoonvelde. Hio jina inakaa ya mbongo?
Umesahau all millionaires in Tanzania are not of Tanzanian or even african descent?
View attachment 3226882
Hivi ukiwa na shi ngapi ndo unaitwa milionea? 😂😂😂Ha ha ha maybe you should say billionaires (yes in $). But millionaires (in $) you are chit chatting with them in this forum.
NB: I ain't one.
2.5bHivi ukiwa na shi ngapi ndo unaitwa milionea? 😂😂😂
Sasa inakuwaje huyo kondoo aseme hakuna mbongo mwenye hiyo pesa! 😂😂😂2.5b
Singapore 735.6 km2
Hawa watu hawana upeo, mara moja moja inabidi kuwafumbua macho.Sasa inakuwaje huyo kondoo aseme hakuna mbongo mwenye hiyo pesa! 😂😂😂
juzi tu hapa biteko anakwambia tanesco huduma kwa wateja ni mbovu tena worse mm ni nani nishindwe kusema ukweli 😂😂Ukweli gani? Hizo Huduma za Tanesco unatumia mwenyewe? Kwanza Tanesco wanafanya Kampeni ya kuhimiza watu waweke umeme wewe unaleta porojo za kijinga.
Sijajua alikuwa anamaanisha nini na Wala sio mara ya kwanza Kuna kipindi alovunja hiyo Idada ila Bado analia Lia.juzi tu hapa biteko anakwambia tanesco huduma kwa wateja ni mbovu tena worse mm ni nani nishindwe kusema ukweli 😂😂
yani tanesco bado kuna shida kubwa sana yani ni jipu ambalo linahitaji mtu katili sana nje ya hapo urasimu uko pale mpaka kiyamaSijajua alikuwa anamaanisha nini na Wala sio mara ya kwanza Kuna kipindi alovunja hiyo Idada ila Bado analia Lia.
Labda tuambiane tafsiri yake anaposema Huduma Kwa wateja ni mbovu ana maanisha nini ila Mimi nikipata Changamoto ya umeme sijawahi ona Tanesco wameniangusha.