Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,895
- 103,759
Ukiongea hivi mtu hawezi jua there are thousands and thousands of kilometers of class A and B roads in Vumbistan that are total vumbi.Ruto kasema Mandera walikuwa isolated kama vile si Wakenya! Maana yake hamna barabara!
Na zile scrapper zenu za jeshi toka marekani tuziweke kwenye kundi gani?Keyword- Msaada
What's the traffic density on that road?Having used this road many times , I can vouch that it will be the most rural interchange you can ever see…my parents ancestry is near here … you only see such Ushago projects in developed nations… kudos to Kenya.
Kunyaland ina weather kama ya Dodoma lakini imejificha kwenye kichaka cha ukame eti ndio maana ni net food importer wakati Dodoma inaongoza kwa local food factories in a large scale
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1885730856267870236?t=m-WgIBEB0yHi3SxGDmlrNQ&s=19
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1887369206913519619?t=9zcVNji39J9O_4b2AJvAkQ&s=19
Leta kiwanda cha hiyo capacity huko tako cityHow many factories does Dodoma have? I’m sure haziwezifika hata a 10th of what Tatu City have.
Angalieni state of affairs inayoitwa 'bus' tena inazinduliwa na Rais wa nchi 😂😂😂😂
View: https://x.com/Kenyans/status/1886799604022157439?t=OxzOmBHxR94cLXblBb9zqw&s=19
Dodoma Ina kiwanda cha kutengeneza gari?Leta kiwanda cha hiyo capacity huko tako city
Wanatest wao ndio wametengeneza? Unaongea tu out of contextTesting siku hizi ni same as kuzinduliwa? Kingereza imekuwa balaa kwako ama?
brand new msaada while huleta maize pale Ikulu Nrb!Keyword- Msaada
Leta kiwanda cha hiyo capacity unahaha nini?Dodoma Ina kiwanda cha kutengeneza gari?
used buses!