Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huyu mwamba ka trend sana mwezi huu huko Youtube. 🤣🤣🤣 ukipitia comments za watu wanavyopigana visu kwenye ukarasa wake utacheka ufe. 🤣🤣👇🏾
IMG_4166.jpeg
ila kimsingi kawafumbua macho wakenya sana. Wamebaki kurusha matusi tu.
 
Endelea kuota, hio beach safari owner ni one Dutch by Bert Schoonvelde. Hio jina inakaa ya mbongo?
Umesahau all millionaires in Tanzania are not of Tanzanian or even african descent?
View attachment 3226882
Tatizo nn haswa mbona asinunue hiyo fleet huko Ukunyani? Unajua Leopard Tours Arusha? wana fleet isiyopungua tourvans 200! Ukinionyesha tour company Ukunyani ina Landcruisers 30 nahama humu ndani!

View: https://x.com/leopard_tours/status/1615966224860463104
 
Rushwa na hizo habari za Usimamizi ndio zinazuia watu kuweka umeme? Nachojua Mimi ni kwamba maombi huko Tanesco ni mengi kuliko uwezo wa kifedha wa Tanesco kumhurumia kila mmja.

Shida sio umeme Bali wao Kuwafikia wateja.
sasa hvi ukienda kutaka kuonganishiwa kwanza utazungushwa na pesa utatoa ya kutosha, hii ni moja ya sababu huduma zinachelewa yani urasimu ni mkubwa sana,

pili uingozi madhubuti ndio uta control na kuzuia machafu yote ndani ya shirika la uma, hvi ww ushawa kwenda kuomba kuletewa umeme? 😂😂😂😂
 
Watoto wamjini wanakwambia lazima uweke mali mbele ukitaka chochote kutoka ofisi za umma. Dah inakwaza sana. Bila jivyo utazungumshwa mpaka ujue hujui. 🤣🤣
 
sasa hvi ukienda kutaka kuonganishiwa kwanza utazungushwa na pesa utatoa ya kutosha, hii ni moja ya sababu huduma zinachelewa yani urasimu ni mkubwa sana,

pili uingozi madhubuti ndio uta control na kuzuia machafu yote ndani ya shirika la uma, hvi ww ushawa kwenda kuomba kuletewa umeme? 😂😂😂😂
Stori za kutunga
 
Back
Top Bottom