Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heb ngoja nikurahisishie wala usijipe faraja. 👇🏾to make the records clear
IMG_3556.jpeg
IMG_3557.jpeg
IMG_3558.jpeg
mana ulishaanza kujipa faraja 🤣🤣🤣 uki zoom in utapata kuona ni construction site kuubwa.
 
30% ya wakenya 59,000,000 ni wakenya 17,700,000 lazima wafe wakenya hawa watake wasitake, mana ARV zinasitishwa na dawa kutakuwa hakuna, so hao ndiyo wakenya ambao watakufa kutokana na kukosa dawa za kupunguza madhira ya ukimwi.
Ni upuzi kuwashwa na za wengine ilhali kwako kunaungua pia...hii obsession yenu na kenya si ya kawaida
 
Mbona inachukua miaka kumi na.. kufanya ujenzi wa some apartment blocks 😂😂
Wacha maswali ya kijinga,miaka 6 ujenzi haukufanyika Kwa sababu haikuwa kipaomnele Cha Rais aliyepita ila Kwa Sasa ni kipaomnele ndio maana ujenzi ume resume.
 
Back
Top Bottom