ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,560
- 90,008
Wengi tunafikri uzalendo ni kusifu kupongeza na kumpamba kiongozi, so sad!hii ndio shida yetu watanzania sijui kwann hatupendi kukubaliana na ukweli, ni kweli kilichoongelewa, kwan unafkiri mpinzani wako ww yote atakayaongea ni ya uongo its not true kuna amabayo ataongea ni ya ukweli pia, so u have to admit it, na wakat mqwngine mpinzani wako anaeza kua anamsaada kwako kwa kukuambia madhaifu yako na ukawa imara zaidi, so sometimes tuwe wazalendo wa ku admit na ukweli pia.
Pro.Lumumba anasema ukiona mtu anatumia mda mrefu kueleza alichofanya huwa hajafanya kitu kwa kuwa kitu kilicho fanyika huwa kinajieleza chenyewe!sio kila atachoongea mpinzani ni propaganda bro hawa wapinzani wakat mwengine tunawahitaj sana kwa ajili ya kufichua madudu, siku zote kwenye maisha mpinzani ndio anakupa chachu ya kufanya makubwa zaidi kwasababu atatafuta madhaifu yako ambayo huenda ww ulikua huyajui vzr
hili la mabango its true, inatumika pesa nyingi sana kushawahishi watanzania kama kazi inafanyika na maendeleo watu wanaona mabango ya nn bro, kwann pesa inapotezwa kizembe and yet kazi inaonekana, kwann pesa itumike tena kuwaaminisha watu yet nchi inasonga mbele, tusiwe watu wakushangilia kila kitu na kubeza kila kitu
mm bro kwenye ukweli ntakwambia huu ni ukweli na kwenye uongo i will tell u the same, hua niko very straight.
Huyu ni mpumbavu! Nashangaa wavivu wana mu-idolize!
Na gazeti zima linapost, hawa ndio wasomi most educated nation in the continent 😅😅😅mbunge wa kenya huyu ndio anatakiwa atunge sheria za nchi 😂😂😂🙌🏻🙌🏻
View: https://x.com/k24tv/status/1884458885651566816?s=46
Wait and see if anything happens to our soldiers M23 will be a dead organisation walking.Yes he is a credible journalist, meanwhile remind me who are you?
Where was JWTZ when Goma was being taken by those bandits? Just accept that mlishindwa hii vita😂
Lazima remitansi ishuke mwaka huu 🤣🤣🤣Wakenya 1,282 wanafukuzwa na Trump huku watanzania 301 pekee.
Kenya is a dead Country
Nashindwa kuelewa kwanini na ni kwasababu zipi huyu mpuuzi asikamatwe au kuvamiwa hako kanchi kao maskini.? For what I know kwa hako kanchi na uchumi wao hawawezi ku sustain hata vita ya mwezi mmoja hawa kama tutaamua kuwavamia huko kwao. Hizi habari za kuoneana haya zitatufikisha pabaya sana.
Naona uzi wa COST COMPARISON umekutokea puani mjomba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Google Africa HQ