Unatuonyesha barabara yenye iko 10km away?Ubaya ni kwamba mimi sio mvivu wa kutafuta taarifa. Nikiamua kukubananisha uchomoi πππ haya barabara si hii kando ya uwanja. ππΎView attachment 3213378chini hapo ji mita 30 kifikia barabara ingine. πππ
The poor Chinese go to Tanzania while the rich run to KenyaππThey are attracting Chinese hawkers instead of wealthy investors. π€£ π€£ π€£
Alafu hao Wachina hawkers hawalipi ushuru.Wewe zoea tu Chinese hawkers, hata Yutong wanaogopa kuwekeza huko bongoslum ju wanajua hamna skills na hawataki kupoteza pesa. π€£π€£π€£
Junction ya Bibi Titi na Azikiwe inavutia sana, zege tu. Nafikiri ndani ya mwezi hiki kipande cha Azikiwe kinaisha.City center ya Dar itakuwa poa sana BRT system ikiisha kabisa. Azikiwe na maktaba streets will be the best streets in East Africa.
Phase 3 of BRT will change completely the face of Dar es Salaam City
Itapendeza zaidi ikiwa only Blue gas powered Buses to be allowed in Dar cbd...
Waondoe kabisa bodaboda, tuktuks na Daladala City center baadae waondoe zile Hunting cables za internet
View attachment 3213379
10km away.? πππ chizi kweli wewe.. nimepima kabisa hapo ππΎUnatuonyesha barabara yenye iko 10km away?
Tuletee ile "Word Class Infrastructure" UHURUTO Madaraka Express πππ
Panawaka kinoma, jana nilikua hapo. Halafu panakula pavement mpyaa. Sidhani kama kutakua na mtaa wa kulinganisha na huu EA nzima.Junction ya Bibi Titi na Azikiwe inavutia sana, zege tu. Nafikiri ndani ya mwezi hiki kipande cha Azikiwe kinaisha.
Kutoka Azania front hadi Askari monument pamekamilika panavutia sana.Panawaka kinoma, jana nilikua hapo. Halafu panakula pavement mpyaa. Sidhani kama kutakua na mtaa wa kulinganisha na huu EA nzima.
Kitu kimoja wanatakiwa kufanya ni kuutengeza upya Mtaa wa Samora. Lami ya zamani haiko smooth,pavement haziko even from building to building. Huu mtaa wa kihistoria unahitaji face lift. Walifanya facelift ya Samora kutoka Clock tower hadi Morogoro road jumction(JM Mall) hawakumaliza barabara yote mpaka Askari Monument.Panawaka kinoma, jana nilikua hapo. Halafu panakula pavement mpyaa. Sidhani kama kutakua na mtaa wa kulinganisha na huu EA nzima.
Ndio nililelenga ikiwa Land cruiser wanaifanyia hivyo imagine Mwendokasi tena ya mchina 7 years.Hizo LC zimepotea au wameuziana 3-5m? Gari inakufa fuel pump inaachwa ifubae ili mtu aje ajiuzie 4m. Tuongee mambo mengine.
Hawa jamaa jau
In short Wachina wameshikilia more than 20% of Tanzanian economy?Unataka kujua investments za china in Tanzania.? πππ utakimbia mzee. Pitia hii ππΎView attachment 3213381πππ sisi hatu sign bogas treaties buda.
Mean while hapo kenya wameshika uchumi wemu 50% πππ. Bila wachina nchi inakufa.In short Wachina wameshikilia more than 20% of Tanzanian economy?
Vitu wanafanywa. πππYoutong intentions zao ni kuwekeza bongo kwasababu ndio wateja wao wakubwa in the region, nani ni competitive to TZ likija suala la kununua buses.? πππ ila sisi haturuhusu mikataba ya kipumbavu.
Naona akili za ubaboon imeanza kukurudia. Ebu Leta evidence tuone.Mean while hapo kenya wameshika uchumi wemu 50% πππ. Bila wachina nchi inakufa.
Mkuu yani kiufipi Posta inahitajika ipigwe renovation ya maana sana, barabara nyingi ni za kizamani, pavement zimechokaa.Kitu kimoja wanatakiwa kufanya ni kuutengeza upya Mtaa wa Samora. Lami ya zamani haiko smooth,pavement haziko even from building to building. Huu mtaa wa kihistoria unahitaji face lift. Walifanya facelift ya Samora kutoka Clock tower hadi Morogoro road jumction(JM Mall) hawakumaliza barabara yote mpaka Askari Monument.
Kutoka Askari monument hadi Ocean Road Hospita wamefanya facelift.